Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Hili unalojibizana na mimi ni jambo la msingi au sio la msingi?
Hilo la ghorofa ya ishirini, si la msingi.

La msingi lipo kwenye the fallacy of cause and effect in a non-temporal universe with quantum probabilistic fluctuations producing virtual particles at the Planck scale.

Ambalo huna hata matumaini ya kulielewa.
 
Hilo la ghorofa ya ishirini, si la msingi.

La msingi lipo kwenye the fallacy of cause and effect in a non-temporal universe with quantum probabilistic fluctuations producing virtual particles at the Planc scale.

Ambalo huna hata matumaini ya kulielewa.

Hahahaaa, sawa profesa na mwana filosofia wa JF. Hapo ndio nnapopapenda. Siandiki maneno ya kiingereza hapa sio kwamba siwezi ila sio vizuri kudhihirisha ujinga mbele ya kadamnasi.

Haya mkubwa, lajini kumbuka hakuna mtu aliyeelewa mambo yote. Wengi wakiofanikiwa, wameamua kuchukua eneo moja wakajikita na kubobea huko, matokeo yake tumeyaona.

Lakini wewe bado napata shida hizi mbwembwe zote za kitoto unataka kutuonyesha umebobea wapi.

Endelea kujibizana na mimi.
 
Maprofesa na wanafilosofia wa JF raha

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo, na huwezi kuthibitisha kwamba yupo.

Kwa sababu hayupo.

Dhana ya kuwepokwake inajipinga yenyewe na inapingwa na ulimwengu tunaouona.
 
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo..

Sio mara ya kwanza kulisema hili.
Inapokuja suala la Mungu, ni la imani.
Kama unaamini, unaendelea na huo mrengo na kama hauamini, uko sawa kuendelea na mambo mengine.

Pili, huyo Mungu ambae anataka atetewe na Samaritan ndio awe Mungu, hawezi kujithibitisha mwenyewe, hata mimi simtaki na sio wajibu wangu kuthibitisha.

Mwisho, tofauti kati ya wanaoamini au kutoamini uwepo wa Mungu, haionekani thahiri moja kwa moja. Wote tunasoma, tunavuta hewa ileile, tunaugua, tunakufa, tunaajiriwa na kufanya kazi bila kubaguliwa kwa vigezo vya imani kuhusu uwepo wa Mungu. Hapo ndio nnaposhindwa kuelewa wasioamini kysema wanaoamini wana upeo mdogo au wanaamini uongo. Sijaelewa hii inawaathiri vipi wao. Binafsi asiyeamini uwepo wa Mungu hanipi shida.

Sasa Kiranga hizo sifa za Mungu hapo juu umezipata wapi?
Naona umeamua tuendelee kujibizana.
 
Imani kuna watu wanaamini mti wa mnazi ni Mungu wao, unawapa nazi, unawapa pombe, unawapa makuti.

Na mimi kama libertarian nitatetea haki yao ya kuamini hivyo, mtu akiwanyima haki hiyo nitawatetea.

Hata kama siamini kama wao.

Mimi siongelei imani, naongelea fact.

Mungu huyo mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, factually, hayupo.

Ila kwenye imani, ukisema unaamini Mungu huyo, naitetea haki yako ya kuamini.

Juzi juzi hapa Paul Kagame alitaka kufunga makanisa Rwanda akiweka masharti kwamba wachungaji wawe na degree, nikasema huyu anavunja haki za binadamu za uhuru wa kuabudu, kama zilivyoelezewa na Universal Declaration of Human Rights.

Sina tatizo na mtu anayesema anaamini Mungu yupo, nina tatizona mtu anayesema anajua Mungu yupo as a statement of fact.
 
Formal education inapatikana shuleni, labda kama unamaanisha kinyume na hiyo, ndio akupatie!!

Nijuavyo mimi watu wote tuna informal education, by default!

Sasa kama unataka elimu lazima uende shuleni bro, kinyume na hapo tayari elimu unayo (informal education).
Mpatto, ndugu Immanuel ( Mungu pamoja nasi) amehusanisha kwenda shule na kuelimika. Ungeanzia hapo kabla hujatoaa forms of education.
 
...Mungu huyo mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, factually, hayupo..
.

Hicho ndio nimekisema toka mwanzo, nhe ya Imani, ni vigumu kama sio haiwezekani kuelewa mambo ya Mungu, Imani ndio msingi wenyewe.

Ni jambo la mtu kuamua kwamba anataka kuamini au anataka facts.

Hizo sifa nilizokunukuu hapo juu bado haujasema umezipata wapi mkuu.
 
katika quran mungu kaelezea jinsi alivyokuumba ww .kumbuka hicho kitabu ni cha kale kabla hata technoljia haijawa ..na leo hii wanasayansi wanesibitisha ukweli huo wa uumbwaji .
Yaan usije ukatolea quran kielezee uumbaji yaan hicho ndio totally shizophrenia yaan quran hata mtu alivyoumba kinaongopa
 
Hicho ndio nimekisema toka mwanzo, nhe ya Imani, ni vigumu kama sio haiwezekani kuelewa mambo ya Mungu, Imani ndio msingi wenyewe.

Ni jambo la mtu kuamua kwamba anataka kuamini au anataka facts.

Hizo sifa nilizokunukuu hapo juu bado haujasema umezipata wapi mkuu.
Kwa hiyo sifa hizo huzitambui kama sifa za Mungu wako?

Hizo ni sifa za Mungu ambaye watu wengi wanamuamini (Wakristo kutoka Biblia, Waislamu kutoka Quran etc).

Kama wewe una Mungu mwingine ana sifa tofauti, unasema unajua yupo (siyo unaamini tu), taja hizo sifa zake tumjadili.

Maana inawezekana wewe ni kati ya wale wanaosema Mungu Beyonce yupo, sifa yake kauza rekodi milioni 17 za muziki wake.

Ukimsema Mungu Beyonve kwa muktadha huo, siwezi kukubishia kwamba Mungu Beyonce (kwa muktadha huo) hayupo.
 
Hahaha duh! aisee watu sijui mna akili zinafikiria vipi, hivi mungu ambaye hajaonwa na mtu hata moja kati ya mabilioni waliowahi kuishi unakuja kulinganisha na kukosekana ushahidi mahakamani? Aisee umenichekesha, so hiyo ndo evidence yako kua mungu yupo? Basi kwa sababu hiyo tuseme thor, zeus, na greek gods wengine wote wapo maana hakuna mwenye ushahidi ila kuna watu walisema kua waliwaona.

Wabongo mmefungwa kwenye jela la dini ambalo ni la kijinga sana, mnakaa kuishi kwa kuoga wa kijinga kuogopa vitu ambavyo havipo, hahaha, toka zunguka duniani ujionee maisha, nchi ambazo population kubwa hawana dini cha kushangaza ndizo zinaongoza kwa utulivu, amani, furaha, sio bongo mnajidanganya tu. Waafrika dini zimewavuruga sana vichwa. Hamtokuja kuendelea kamwe 95% ya population mnaamini upuuzi.
Una umri Gani?
 
Yaan usije ukatolea quran kielezee uumbaji yaan hicho ndio totally shizophrenia yaan quran hata mtu alivyoumba kinaongopa
Quran inatuambia kwamba kuna watu fulani wabishi. Wanaoamini Mu gu hata wasijishuvhulishe nao hawa watu.

Kwa sababu Mungu mwenyewe kaifanya mioyo yao kuwa mizito kumjua Mungu. Allah kawaziba macho na masikio hawa watu wasimjue.

Halafu siku ya kiama atawahukumu na kuwachoma moto.

Kwa sababu hawajamjua Mungu.

Eboo?

Huyu Mungu ana kichaa?

Yani yeye Mungu muweza yote, mwenye ujuzi wote na upendo wote, kawaziba watu hawa masimio na macho, kawafanya mioyo yao iwe mizito kumjua Mungu.

Halafu hawakumjua Mungu.

Kwa sababu Mungu kapanga hivyo kwa makusudi. Na anachopanga hakipingiki.

Halafu wakikosa kumjua Mungu tena wanaadhibiwa kwa kutomjua Mungu?

Yani watu wanasoma hiki kitabu na kumkubali huyu Mungu yupo kweli?
 
Quran inatyambia kwamba kuna watu fulani wabishi. Wanaoamini Mu gu hata wasijishuvhulishe nao hawa watu.

Kwa sababu Mungu mwenyewe kaifanya mioyo yao kuwa mizito kumjua Mungu. Allah kawaziba macho na masikio hawa watu wasimjue.

Halafu siku ya kiama atawahukumu na kuwachoma moto.

Kwa sababu hawajamjua Mungu.

Eboo?

Huyu Mungu ana kichaa?

Yani yeye Mungu muweza yote, mwenye ujuzi wote na upendo wote, kawaziba watu hawa masimio na macho, kawafanya mioyo yao iwe mizito kumjua Mungu.

Halafu hawakumjua Mungu.

Kwa sababu Mungu kapanga hivyo kwa makusudi. Na anachopanga hakipingiki.

Halafu wakikosa kumjua Mungu tena wanaadhibiwa kwa kutomjua Mungu?

Yani watu wanasoma hiki kitabu na kumkubali huyu Mungu yupo kweli?
Ungeweka hiyo mistari ya qur,an mkuu isijekua unatulisha tangochaka
 
Ungeweka hiyo mistari ya qur,an mkuu isijekua unatulisha tangochaka
Tafuta Quran usome mwenyewe.

Sura Al Baqarah 2:6 - 2:7

"Indeed, those who disbelieve - it is all the same for them whether you warn them or do not warn them - they will not believe.

Allah has set a seal upon their hearts and upon their hearing, and over their vision is a veil. And for them is a great punishment."

Mwisho wa nukuu.

Sasa huyu Mungu anafunga mioyo watu wasimjue, halafu wakikosa kumjua anawahukumu.

Ujinga mtupu.

Nikisema sitaki kukubali Mungu wa ujinga huu utanishangaa vipi?
 
...Hizo ni sifa za Mungu ambaye watu wengi wanamuamini (Wakristo kutoka Biblia, Waislamu kutoka Quran etc).
...

Kwa mtu wa fact kama wewe, naomba uniwekee nukuu zinapopatikana sifa ulizozitaja hapo juu.

Naomba hivyo kwa sababu mara nyingi wasioamini wanaleta sifa hizo katika muundo wa sifa hizohizo. Nikipata kutoka kwako chanzo cha hizo sifa, itasaidia kujua hizo ndio sifa pekee au ni baadhi ya sifa za Mungu zilivyoelezewa kwenye hicho chanzo chako.

Karibu.
 
Sasa mbona wewe unaniuliza maswali mimi tu mfululizo nakujibu, maswali yangu hunijibu?

Taja sifa za Mungu wako kwanza.
 
Tafuta Quran usome mwenyewe.

Sura Al Baqarah 2:6 - 2:7

"Indeed, those who disbelieve - it is all the same for them whether you warn them or do not warn them - they will not believe.

Allah has set a seal upon their hearts and upon their hearing, and over their vision is a veil. And for them is a great punishment."

Mwisho wa nukuu.

Sasa huyu Mungu anafunga mioyo watu wasimjue, halafu wakikosa kumjua anawahukumu.

Ujinga mtupu.

Nikisema sitaki kukubali Mungu wa ujinga huu utanishangaa vipi?
Japo uwape watu ufafanuzi wa hiyo aya wapate kuelewa,maana tunajua kama hivi vitabu vyote umevisoma viuri tu.
 
Japo uwape watu ufafanuzi wa hiyo aya wapate kuelewa,maana tunajua kama hivi vitabu vyote umevisoma viuri tu.
Vitabu vinavyosemwa kuwa ni vya Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kuhitaji ufafanuzi ni ushahidi mwingine Mungu huyo hayupo.

Angekuwepo, siyo tu vitabu vyake visingehitaji ufafanuzi, tusingehitaji hata vitabu kumuelewa.
 
Back
Top Bottom