Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Aaamen Mzee! Inshallah...!!!
Mweleze huyo Rafiki yako Unbeliever.
mungu kaonekana Marekani
Anaitwa Bayonce.
Kama anataka kuthibitisha aende akampapase.
Anapapasika.
Kama hana nauli, amu Google kwenye yutyubu.
 
Kwa hiyo unakubali kwamba kuupa mwanzo huu consciousness ni makosa?

Unajua kwamba dhana nzima ya cause and effect, ambayo inaleta habari nzima ya kianzilishi/ muanzilishi inaweza kuwepo kama tunaangalia ulimwengu katika upeo (level) wetu tu.

Unaelewa kwamba ukizama katika upeo wa chini kabisa kwenye kwanta huko, dhana ya kwamba hiki kitasababisha kile kwa sababu hiki kimeanza kabla ya kile inavunjika?

Kwa sababu dhana nzima ya muda inavunjika na kuwa tegemezi wa mengine?

Unaelewa hayo?

Unaelewa kwamba ukishikilia xhana ya kianzilishi kuwa ni kitu cha kazima, hata Mungu naye atahitaji kinzilishi, na hivyo atakuwa si Mungu?

Unaelewa kwamba dhana hiyo inaonesha kwamba hakuna Mungu?
Kuupa huo mwanzo consciousness au kutoupa kabisa, tena kwa kulazimisha kana kwamba mtu ana uhakika ulio dhahiri, hayo ni makosa tena makubwa. Kwa sababu hakuna aliye na uhakika wa dhahiri kama huo mwanzo ni conscious being au la!

Mr. Kiranga , mimi binafsi (na wengine pengine) nafurahia sana ninapoona comment zako (Kama hiyo) kwa maana najifunza mambo mapya mengi.

Kwa mantiki hiyo, naomba walau kidogo utoe darasa kuhusu cause and effect. Ki ukweli mimi bado dhana hii sijaielewa vizuri, hivyo nakuomba utuelekeze angalau kidogo. Nadhani free minded wote wanakubaliana na hili.
 
Mweleze huyo Rafiki yako Unbeliever.
mungu kaonekana Marekani
Anaitwa Bayonce.
Kama anataka kuthibitisha aende akampapase.
Anapapasika.
Kama hana nauli, amu Google kwenye yutyubu.
😳 😳 😳
 
Hahaha duh! aisee watu sijui mna akili zinafikiria vipi, hivi mungu ambaye hajaonwa na mtu hata moja kati ya mabilioni waliowahi kuishi unakuja kulinganisha na kukosekana ushahidi mahakamani? Aisee umenichekesha, so hiyo ndo evidence yako kua mungu yupo? Basi kwa sababu hiyo tuseme thor, zeus, na greek gods wengine wote wapo maana hakuna mwenye ushahidi ila kuna watu walisema kua waliwaona.

Wabongo mmefungwa kwenye jela la dini ambalo ni la kijinga sana, mnakaa kuishi kwa kuoga wa kijinga kuogopa vitu ambavyo havipo, hahaha, toka zunguka duniani ujionee maisha, nchi ambazo population kubwa hawana dini cha kushangaza ndizo zinaongoza kwa utulivu, amani, furaha, sio bongo mnajidanganya tu. Waafrika dini zimewavuruga sana vichwa. Hamtokuja kuendelea kamwe 95% ya population mnaamini upuuzi.

Salute mkuu!!

Nchi ambako dini zilianzia kama vile Israel (wanasema ni taifa teule) na mashariki ya kati kwa ujumla wake yaani Palestina,Damascus (Syria), Baghdad ambayo ndiyo Babeli ya miaka hiyo.

Nenda hadi Misri na nchi nyingine za kiarabu zilizopokea dini hizi mwanzo kabisa.

Halafu linganisha na nchi kama Botswana kwa kina Makhirikhiri ambao hata leo mavazi yao ni ya kiasili haswa.

Hizi dini ni useless sana!!
 
Kama kweli dini ni useless onyesha kwa vitendo... Anza kubadili jina ulilonalo sasa... Naamini una jina lako la kibantu... Likane hili la Emmanuel (Mungu pamoja nasi) kuthibitisha maneno yako... Baniani mbaya lakini kiatu chake dawa
 
Tatizo lenyewe hata tukianza kujadili utakuja kusema hata huyo Mungu hayupo,hapo tena inafanya hayo majadiliano yasiwe na maana na ndiyo maana tumeshauri tuache habari za dini tuzungumzie Mungu kama Mungu.
Dini ndio zimesema kuna mungu hivyo hatuwezi acha kuziweka pamoja dini na mungu ukifanya hivyo unajidanganya
 
Hivi mimi nimetaja kanisa mahali?
Kwa hiyo wakati unaandika Mungu amedanganya, uliandika kwa kuwa kanisa (sijui unamaanisha nini) limesema au kwa vile Gallileo aliuwawa?

Mbona kama hauelewi msingi wa maswali yangu niliyokuuliza awali?
Nimekutolea mfano wa Gallileo kuonyesha mungu kupitia dini amedanganya jua linatembea ila likasimama ktk vita ya joshua ambapo mungu wa biblia ni muongo amedanganya hilo kanisa wakampa hukumu wakamuua ilionekana Gallileo alikuwa anapingana na maandiko lakn 1992 wakatengua hukumu walikiri fanya makosa
 
Hapo ndio umethibitisha kwamba Mungu amedanganya?
 
Kwanini unataka kunilisha maneno!? Hivi unaelewa tofauti ya tamaduni na lugha kweli? Tena huko umeenda mbali unataka kusema makabila yote Tanzania yanamuita Mungu?
Hiki kingine ulichoandika kuhusu Adam asiitwe Mshana ndugu yangu wewe sina la kusema..
Nje ya hii username yako si una jina lingine? Kwanini ujiite na kuitwa hayo majina yako mengine na si mengine yoyote?
Utamaduni una reflect lugha ndio maana kiswahili kinaongelea afrika mashariki maana yake wenyeji wa pwani hilo swali huwezi kujibu lipo chini ya uwezo wako kwakuwa hujaandika biblia wala huijuh ilipotokea hadith zake
 
Naomba ujibu kwa kutulia.. Na kama huna jibu sahihi unatulia kwanza... Kanisa lile lipi?
Mbona una uliza maswali rahisi,naomba uulize maswali magumu yenye changamoto hilo swali dogo kila mtu analijua nenda katafute kasome vitabu,ka google utapata habari zake kwa kina
 
Utamaduni una reflect lugha ndio maana kiswahili kinaongelea afrika mashariki maana yake wenyeji wa pwani hilo swali huwezi kujibu lipo chini ya uwezo wako kwakuwa hujaandika biblia wala huijuh ilipotokea hadith zake
Astronomer this is the poorest reply ever!
 
Mbona una uliza maswali rahisi,naomba uulize maswali magumu yenye changamoto hilo swali dogo kila mtu analijua nenda katafute kasome vitabu,ka google utapata habari zake kwa kina
Hapana nataka ujibu wewe kama ni rahisi... Jibu kwa utashi na uelewa wako... Sitaki kutafuta vitabu ama chanzo kingine chochote... Nataka ujibu wewe
 
Kama kanisa limekubali makosa kumuua Gallileo na wakakiri mbele ya dunia basi maneno yako ni sawa na uchukue tani 1 za sukari umwage ktk bahari huwezi badilisha ladha ya chumvi ktk bahari

Hivi nikikuuliza kanisa ni nini utanijibu kitu gani? Unazungumzia kanisa lipi kwanza. Mie sijataja hayo mambo ya kanisa ndio maana nilikua nakuuliza mara mbilimbili, Mungu amedanganya? Unajibu amedanganya.

Jambo la kwanza, umeamua kuamini habari za kanisa kuomba msamaha na kuzitumia kama utetezi wako kwamba Mungu kadanganya lakini hauziamini habari za kanisa hilo hilo zinazosema Mungu yupo.

Nakuuliza tena wewe uliyejitanabaisha kwamba Mungu kadanganya, unaweza kuthibitisha kwamba amedanganya?
 
Hakuna haja ya kubishana.Wewe endelea na imani yako na mimi naendelea na yangu.

Ni bora kuamini Mungu yupo ukamkuta hayupo baada ya kufa kuliko kujiaminisha hayupo kisha ukamkuta hayupo.
bhc tuachane na imani twende kwenye fact
 
Back
Top Bottom