Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

tukiachana na mambo ya imani tukija kwenye masuala ya kisayansi .pia tunaeza prove uwepo wa mungu
 
tukiwaambia habar za future mtasema tumejuaje mara hakuna aliekufa akarudi mara tumejuaje kua kuna mwisho wa dunia mtabisha xnaa.ila tukiwapa fact za nyuma pia mtabisha..
 
.
IMG_20180529_143910_537.jpg
 
Unajibizana na mimi?

Jibu pist yangu namba 1994.
Hiyo pi ikiwa kwenye decimal places 4 au decimal places 10 kunaifanya isiwe pi?

Unajuaje upeo wangu wa uelewa ambao umeuita mdogo kwamba naweza kuelewa hata huu mfano achilia mbali hizo decimal places 4 za pi?

Haukuamua kujibu swali la mfano nilioutoa mimi kitambo, na ukasema tusihusishe kiwango cha uelewa wa msomaji, wewe huyo huyo umerudi huko, haiendi hivyo.

Nauliza tena, uelewa wangu umekua kiasi cha kujibizana na wewe? Au na hili utasema haukusema?
Haujakua,na ndiyo mana sioni tija kuendelea kujibizana nawe kwenye mambo ya msingi.
 
Naona mshaanza kuleta utoto kwenye huu Uzi ,kama mmeshindwana waambieni mods wafute huu uzi
 
Naona mshaanza kuleta utoto kwenye huu Uzi ,kama mmeshindwana waambieni mods wafute huu uzi
Sio vizuri kuvamia karamu isiyokuhusu... Kama unaona kuna utoto... Unapuuzia na kwenda nyuzi ambazo hazina utoto
 
Mimi sijatokea huko km umesikia habari za genetic utagundua leta uthibitisho alichoumba
katika quran mungu kaelezea jinsi alivyokuumba ww .kumbuka hicho kitabu ni cha kale kabla hata technoljia haijawa ..na leo hii wanasayansi wanesibitisha ukweli huo wa uumbwaji .
 
hii yasibitisha kua ss katuumba yeye kwani.siku zote huez tengeneza kitu bila kukijua. na yeye anatujua nje ndani ndio maana katuelezea kila kitu kwenye vitabu vyake vya torati.zaburi.injili na quran ..
 
nb.hakuna swali lolote utalotaka kujua ukalikosa kwa ivyo vitabu...ambavyo ni va zamani xnaa lakin vyazungumza mambo hadi ya leo
 
bhc tuachane na imani twende kwenye fact
Fact ipi sasa...nyote mna ubishi usio na tija.
Nimemuuliza Padri Kirang'a Je tukifa nini hatima yetu ? Akabaki ana mbwela mbwela?
Nikamuuliza kama hatutaki dini nini kitakuwa chanzo cha maadili yetu? Akabaki anacheka cheka..

Nikaenda mbali.Nikamuuliza ulimwengu uliumbwaje?Akasema yeye hajui..

Ila bado anaendelea kutoka mbovu kutetea upagani.Ni aina fulani ya ujinga.
 
Hakuna aliyewahi kufa halafu akarudi kutuelezea palivyo.

Kwa hiyo hakuna anayejua hatima yake baada ya kufa.

Lakini nini ilikuwa hatima yako kabla ya kuzaliwa!?
Sifahamu hatima yangu kabla ya kuzaliwa na hata baada ya kufa.
Sifahamu mambo mengi ya dunia.Ndio maana ninakuwa na hofu ya mungu.Na sijaona hasara ya kuwa na hofu ya Mungu.
 
Haujakua,na ndiyo mana sioni tija kuendelea kujibizana nawe kwenye mambo ya msingi.

Kwa kuwa wewe Kiranga ndio umesema nna upeo mdogo, hautajibizana na mimi mambo ya msingi, haijaleta shida lakini mbaya zaidi hatua hii kufikiwa na mtu anaejiita ana upeo mkubwa wa mambo.

Kila la kheri kwenye kutekeleza azma yako.

Nikiri kujifunza mengi kutoka kwako katika maeneo mengine lakini kwa hili, haujaonyesha uwezo wa msomi.

Unaweza kutojibizana na mimi hata kwenye mambo ambayo sio ya msingi pia.

Nimejaribu kupitia tena na tena kuina hayo unayodai ni ya msingi kwenye huu uzi, sijaona.
 
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo, na huwezi kuthibitisha kwamba yupo.

Kwa sababu hayupo.

Dhana ya kuwepokwake inajipinga yenyewe na inapingwa na ulimwengu tunaouona.
 
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo, na huwezi kuthibitisha kwamba yupo.

Kwa sababu hayupo.

Dhana ya kuwepokwake inajipinga yenyewe na inapingwa na ulimwengu tunaouona.

Hili unalojibizana na mimi ni jambo la msingi au sio la msingi?
 
Back
Top Bottom