Astronomer The Great
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 978
- 576
Chromosomes 23 za mbegu ya baba plus chromosomes 23 yai la mama jumla 46 nikatokea mimiHukutokea huko umetokea wapi
Chromosomes 23 za mbegu ya baba plus chromosomes 23 yai la mama jumla 46 nikatokea mimiHukutokea huko umetokea wapi
RCHapana nataka ujibu wewe kama ni rahisi... Jibu kwa utashi na uelewa wako... Sitaki kutafuta vitabu ama chanzo kingine chochote... Nataka ujibu wewe
Kanisa limeshakiri kosa wakatengua hukumu ww huna mamlaka juu ya kanisa maneno yako ni sawa na tani 1 za sukari uweke ktk bahari usitegemee bahari kuwa tamuHivi nikikuuliza kanisa ni nini utanijibu kitu gani? Unazungumzia kanisa lipi kwanza. Mie sijataja hayo mambo ya kanisa ndio maana nilikua nakuuliza mara mbilimbili, Mungu amedanganya? Unajibu amedanganya.
Jambo la kwanza, umeamua kuamini habari za kanisa kuomba msamaha na kuzitumia kama utetezi wako kwamba Mungu kadanganya lakini hauziamini habari za kanisa hilo hilo zinazosema Mungu yupo.
Nakuuliza tena wewe uliyejitanabaisha kwamba Mungu kadanganya, unaweza kuthibitisha kwamba amedanganya?
Mungu anathibitishwa kwa Mtu mwenye Akili.wewe una Akili.?Hujathibitisha Mungu yupo.
Unalazimisha hoja tu.
Hujathibitisha Mungu yupo.Mungu anathibitishwa kwa Mtu mwenye Akili.wewe una Akili.?
Na silazimishi Hoja, uliniambia mpaka nikajifunze Hesabu kwanza, Na mimi sio mtaalamu wa Hesabu.
Hivyo sina haja ya kujua Mungu hayupo_ni Mpaka nijue Hesabu. na Mimi mpango wa kuzijua Sina Kabisa.
Hivyo Hoja sina,nitajadili nini sasa.
Tena watazunguka zunguka bila ya majibu kwakuwa vitabu vina makosa kitabu cha genesis kibovu kweli watu wanageuka mpaka chumvi watu mpaka leo wanaamini hadith za uongo kama hizoHahaha, ndiyo maana ukiwabana wanakimbiliakusema "tafsiri".
Eti Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, kapanga mpango.Tena watazunguka zunguka bila ya majibu kwakuwa vitabu vina makosa kitabu cha genesis kibovu kweli watu wanageuka mpaka chumvi watu mpaka leo wanaamini hadith za uongo kama hizo
Yaan hata sijui kwann kwa karne hii mtu anashindwa kuyaona hayoEti Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, kapanga mpango.
Halafu kachukizwa na mpango wake ulivyoenda, kaghadhibika.
Sasa huyu Mungu yeye tumeambiwa anajua yote, maana yake alijua mpango utakavyoenda kabla haujaenda hivyo, sasa anachukizwa vipi? Anapataje ghadhabu?
Ghadhabu niudhaifu wetu watu,hatuna control na mazingira,hatujui yajayo,huyu Mungu mwenye control yote na kujua yote ghadhabu anaanzaanzaje kuipata?
Hapo hapo unaambiwa akawaadhibu watu, kanyesha gharika dunianzima ikajaa maji.
Wakafa watu na wanyama. Watu wakubwa kwa watoto. Kwa mkosa ya wachache wote kawaua.
Sasa mbona Mungu huyu anakuwa muonevu hivyo, kaua mpaka watoto, kwa makosa ya wazazi wao.
Kaua mpaka wanyama, kwa makosa ya watu.
Halafu unaambiwa huyo niMungu wa upendo mkuu na haki kuu.
Ujinga mwanzo mwisho.
Ni kweli.Yaan hata sijui kwann kwa karne hii mtu anashindwa kuyaona hayo
Kanisa limeshakiri kosa wakatengua hukumu ww huna mamlaka juu ya kanisa maneno yako ni sawa na tani 1 za sukari uweke ktk bahari usitegemee bahari kuwa tamu
Kaka mkuu Kiranga majibu ya hitimisho lako laweza kuwa kulekule,Ni kweli.
Huko zamani unaweza kusema ni karne za giza, watu hata kusoma walikuwa hawajui.
Leo hii eti mtu anatembea na libraries zote za dunia mkononi kwenye smartphone yenye internet, anajua Kiingereza -wasiojua Kingereza nawasamehe, hawana access na maandishi mengi sana- kijana, halafu anakubali haya mauzauza?
Kwa nini?
Kaka mkuu Kiranga majibu ya hitimisho lako laweza kuwa kulekule, Diginitive dissonance.
Unatuambia watu waliamini Mungu kwa ujinga uliyokuwepo huko nyuma,ila tena wewe unashangaa kwanini watu bado wanaendelea kuamini Mungu hadi sasa na sio zama za ujinga!!Ni kweli.
Huko zamani unaweza kusema ni karne za giza, watu hata kusoma walikuwa hawajui.
Leo hii eti mtu anatembea na libraries zote za dunia mkononi kwenye smartphone yenye internet, anajua Kiingereza -wasiojua Kingereza nawasamehe, hawana access na maandishi mengi sana- kijana, halafu anakubali haya mauzauza?
Kwa nini?
Kukiwa asubuh mwasema leo kutakuwa na kianga kwa maana mbingu nyekundu tena kumetanda huweleweki mkristo anayepinga kanisa nenda kabadilishe hukumu kama unaweza kama huwezi maneno yako hayana faidaKwa kuwa unaloliita kanisa limeomba limeomba msamaha ndio Mungu kadanganya.
Hilo hilo kanisa likisema Mungu yupo utaliamini?
Narudia tena thibitisha kwamba Mungu amedanganya, haya ni maneno uliyoyasema wewe. Sihitaji kubadili bahari kuwa tamu. Nahitaji uthibitisho wako kwamba Mungu kadanganya.
Nimeeleza hapo juu kwamba kamawatu wengi Kiingereza tu kinawapiga chenga, na Kiingereza ndiyo lugha ambayo hoja nyingi za kuonesha Mungu hayupo zimeandikwa, then siwezi kushangaa watu wengi wasiojua Kiingereza na hata wale wazee waliojua Kiingereza lakini wamekulia mfumowa kuamini Mungu wakiendelea kuamini Mungu.Unatuambia watu waliamini Mungu kwa ujinga uliyokuwepo huko nyuma,ila tena wewe unashangaa kwanini watu bado wanaendelea kuamini Mungu hadi sasa na sio zama za ujinga!!
Ngoja nikupe jibu kutokana na huo mtazamo wako wa kuhusu ujinga,ni kwamba hakuna zama ambayo haina ujinga hata sasa tuna ujinga wa mambo kibao hivyo ndiyo maana basi watu wanaendelea kuamini Mungu.
Na tutaendelea kuamini Mungu maadamu ujinga hautokoma.
Kukiwa asubuh mwasema leo kutakuwa na kianga kwa maana mbingu nyekundu tena kumetanda huweleweki mkristo anayepinga kanisa nenda kabadilishe hukumu kama unaweza kama huwezi maneno yako hayana faida
Kwahiyo tatizo limekuwa ni kiingereza tena kwamba watu hawajui kiingereza?Nimeeleza hapo juu kwamba kamawatu wengi Kiingereza tu kinawapiga chenga, na Kiingereza ndiyo lugha ambayo hoja nyingi za kuonesha Mungu hayupo zimeandikwa, then siwezi kushangaa watu wengi wasiojua Kiingereza na hata wale wazee waliojua Kiingereza lakini wamekulia mfumowa kuamini Mungu wakiendelea kuamini Mungu.
Sasa mtu utataka asome insha ya Bertrand Russell ya "Why I am Not A Christian" wakati Kiingereza hajui? Au utataka asome kitabu cha Dawkins "The God Delusion" wakati Kiingereza hajui?
Ila, kizazi cha kuhoji kinavyozidi kushika hatamu, ndivyo uongo huu utakavyozidi kujulikana.
Kanisa limeshathibitisha kuwa Gallileo alikuwa right ndio maana wakaomba msamaha ukijifanya hiyo habari huijuhi me sio langu kalishtaki kanisa vingnevyo maneno yako sawa uweke tani 1 ya sukari ktk bahari usitegemee bahari iwe tamuWe jamaa kwani tatizo liko wapi?
Hivi unafikiria nilikua nakuuliza mara nyingi unihakikishie maneno yako kwamba Mungu amedanganya bure?
Kwa hiyo hauwezi kuthibitisha ulichokisema kwamba Mungu kadanganya?
Nasita kutumia neno unaamini kwako, umejuaje kama mie ni mfuasi wa hilo kanisa lililoomba msamaha hadi kulazimisha kwamba maneno yangu hayabadili chochote. Jikite kwenye swali nnalokuuliza.
Thibitisha kwamba Mungu amedanganya.
Kiingereza = access to a lot of information on the subject.Kwahiyo tatizo limekuwa ni kiingereza tena kwamba watu hawajui kiingereza?
na ni watu wa wapi hasa unaowakusudia hapa Kiranga ambao hawajui kiingereza?
Kuupa huo mwanzo consciousness au kutoupa kabisa, tena kwa kulazimisha kana kwamba mtu ana uhakika ulio dhahiri, hayo ni makosa tena makubwa. Kwa sababu hakuna aliye na uhakika wa dhahiri kama huo mwanzo ni conscious being au la!
Mr. Kiranga , mimi binafsi (na wengine pengine) nafurahia sana ninapoona comment zako (Kama hiyo) kwa maana najifunza mambo mapya mengi.
Kwa mantiki hiyo, naomba walau kidogo utoe darasa kuhusu cause and effect. Ki ukweli mimi bado dhana hii sijaielewa vizuri, hivyo nakuomba utuelekeze angalau kidogo. Nadhani free minded wote wanakubaliana na hili.