Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Unachotakiwa ni kufafanua maana ya neno Akili kwa kuwa hata yeye alishakufafanulia kwa kutoa mfano wake juu ya ukristo.

Na wewe ulipaswa ufafanue kama baadhi ya memba humu walivyojitahidi kufafanua maana ya neno Akili kwa namna wanavyofahamu wao.
Tofautisha kuuliza na kufafanua
Lakini kwanini ufafanuzi bila majibu?
Nimeuliza una AKILI ama huna AKILI naambiwa nifafane badala ya kujibiwa
Nimeulizwa AKILI ninini nimejibu ni AKILI bado naambiwa nifafanue
Basi nafafanua AKILI ni maarifa yatokanayo na uelewa... Kutokuwa na AKILI ni kukosa maarifa ya uelewa
 
Nini mwendelezo wa chanzo cha kifo?😎
Katika imani ya Mungu mmoja ni kusubiri kiama ili hukumu itolewe
Katika imani ya miungu ni kuingia kwenye mzunguko wa kuzaliwa tena kwenye mazingira na umbo tofauti kulingana na maisha yako ya nyuma
Kwa wale wasioamini katika Mungu na miungu mwili huingia kwenye mwanzo wa mchakato kuoza, kuwa chakula cha wadudu, kugeuka mbolea, kuzalisha gesi mafuta nknk
 
Je kuna ushahidi wa huu mchakato kugeuka kuwa mbolea au ni nadharia tu na hadithi za kufikrika?
Je roho nayo inakuwa mbolea?

Kuna aliyewahi kufika ahera akajakutuhadithia ya huko?
 
Je kuna ushahidi wa huu mchakato kugeuka kuwa mbolea au ni nadharia tu na hadithi za kufikrika?
Je roho nayo inakuwa mbolea?

Kuna aliyewahi kufika ahera akajakutuhadithia ya huko?
. Ushahidi wa mwili kugeuka mbolea ni kutokana na kuoza.. Ukiachana na mbolea za viwandani mbolea asili hutokana na end product kama kinyesi na vitu vilivyokufa na kuoza
. Roho haiwezi kuwa mbolea labda useme moyo... Roho sio substance na roho haifi
.Kifo ni kama risasi ama matamshi hakuna rivasi.. Likitoka limetoka
 
Je kuna ushahidi wa huu mchakato kugeuka kuwa mbolea au ni nadharia tu na hadithi za kufikrika?
Je roho nayo inakuwa mbolea?

Kuna aliyewahi kufika ahera akajakutuhadithia ya huko?
yupo aliefika na pia yako maandiko juu ya huko..ila hata tukikuambia utabisha tuh maana huna hio imani maswali yako hayataisha
 
Nimeeleza kuwa mimi sio mungu hivyo sina sifa ya ujuzi wote na uwezo wote,na kwa maana hiyo kuomba kwangu kunaonesha kwamba sina hizo sifa lau ningekuwa nazo nisingeomba.
Hujaelewa vizuri.

Mungu wako angekuwepo, kungekuwa hakuna haja ya kuomba.

Angeumba ulimwengu ulio perfect kiasi kwamba kuomba - kitu kinachotokana na kukosa- kusingewezekana.

Kwa sababu kungekuwa hakuna kukosa.
 
Nani amekwambia ili ujadili jambo lazima uelewe immanent critique.

Wewe kwa uelewa wako mkubwa na kuijua immanent critique unaona hiyo sentensi iko sawa?

Kwenye sentensibyako ya mwanzo uliweka neno ikiwa?

Nilikutolea mfano wa Kiranga, haukuweza kujibu zaidi ya kulingiza na kulazimisha kuna mambo hayajaandikwa, ukaja na contradiction, na sasa umeleta immanent critique...

Mbaya zaidi, nilitaja kiwango cha uelewa tokea mwanzo, ukapinga sasa nashangaa tunarudi hukohuko.

Naomba nisiendelee kujibizana na wewe.
Sijasema popote kwamba ili ujadili jambo inabidi uelewe immanent critique, unaelewa hilo?
 
Sijasema popote kwamba ili ujadili jambo inabidi uelewe immanent critique, unaelewa hilo?

Hapo katikati kwenye mfano wako sijataka hata kuongelea kwa sababu ntakua najibizana na wewe kitu ambacho nimeamua kuacha.

Sasa kama huelewei immanent critique mjadala unaweza kukuchanganya.

Naweza kuanza ku argue kwamba Mungu hayupo, kwa kusema "Ikiwa Mungu yupo...", ukasema nishaanza kwa kukubali Mungu yupo.

"Sioni tija ya kujibizana na wewe. Unahitaji kukuza uelewa wako kwanza."

Uwezo wangu umekua kiwango cha kujibizana na wewe mkuu?
 
Kuna hii nimeikuta mahali
Screenshot_20180529-021210.jpg
 
Mimi ninaamini kuwa Mungu yupo, kwa uthibitisho kuwa, ulimwengu wote huu tuuonao leo chanzo ni yeye!!

Kwamba kwa sababu ulimwengu upo, basi kunaaliyeuanzisha/kilichouanzisha. Basi kwangu mimi huyo/hicho ndiyo Mungu.

Lakini habari zake ambazo ndiyo rasmi, zisizo na uthibitisho usio na shaka, mimi sina.

Na haiwezekani kwangu mimi Mungu eti akawa Beyonce kwa mafano. Kwa kufanya hivyo nitakuwa nimetengeneza contradiction kubwa. Yaani beyonce aliyezaliwa mwaka 1981, ndiyo awe Mungu aliyeuanzisha huu ulimwengu zaidi ya mamia billions iliyopita, haiwezekani!!
Unajuaje kuna aliyeanzisha - aliyeanzisha maana yake kuna mtu/Mungu/ some being mwenye consciousness- na ulimwengu haujaanza kwa kitu kingine tofauti usichokijua bado kama ambavyo sisimizi anaweza kuwa hajui hesabu za string theory?
 
Uwezo wangu umekua kiwango cha kujibizana na wewe mkuu?
Bado sijaona popote ambapo nimesema kwamba ili ujadili jambo inabidi uelewe immanent critique.

Naweza kuwa nimesema kwamba ili ujadili jambo hili -linalohusiana na immanent critique- inabidi uwe unaelewa immanent critique.

Lakini hilo halimaanishi kwamba ili ujadili jambo lile, ambalo halihusiani na immanent critique, inabidi uelewe immanent critique.

Bado sijaona popote ambapo nimesema kwamba ili ujadili jambo inabidi uelewe immanent critique.

Unaelewa hilo?
 
Unazidi kujichanganya tu.

Unaulizaje kama naelewa wakati umesema hauwezi kuendelea kujibizana na mimi hadi ntakapokuuza uelewa wangu?
 
Unazidi kujichanganya tu.

Unaulizaje kama naelewa wakati umesema hauwezi kuendelea kujibizana na mimi hadi ntakapokuuza uelewa wangu?
Unaelewa kwamba unaweza kuelewa pi mpaka decimal places 4 lakini tukiipeleka kwenye decimal places 10 ukawa huelewi?

Na hapo kati kunawezekana kuwepo point unayoshindwa kuielewa ambayo mwalimu anaweza kutaka kuitafuta kukutoa kwenye kutokuelewa na kukupeleka kwenye kuelewa?

Na kwa wakati mmoja huo huo ukawa huelewi (kwa kiwango cha decimal places 10) na unaelewa (kwa kiwango cha decimal places 4) ?
 
. Ushahidi wa mwili kugeuka mbolea ni kutokana na kuoza.. Ukiachana na mbolea za viwandani mbolea asili hutokana na end product kama kinyesi na vitu vilivyokufa na kuoza
. Roho haiwezi kuwa mbolea labda useme moyo... Roho sio substance na roho haifi
.Kifo ni kama risasi ama matamshi hakuna rivasi.. Likitoka limetoka

Hitimisho ni nini?Tuache kufanya ibada tusubiri kuwa mbolea ?
 
yupo aliefika na pia yako maandiko juu ya huko..ila hata tukikuambia utabisha tuh maana huna hio imani maswali yako hayataisha
Hakuna haja ya kubishana.Wewe endelea na imani yako na mimi naendelea na yangu.

Ni bora kuamini Mungu yupo ukamkuta hayupo baada ya kufa kuliko kujiaminisha hayupo kisha ukamkuta hayupo.
 
Kuna watu wanashinda kesi mahakamani na kuonekana hawana hatia kwa kukosekana ushahidi ijapokuwa ni kweli walikuwa na unaweza ukawa huna makosa ila ushahidi ukaonesha una makosa.

Hahaha duh! aisee watu sijui mna akili zinafikiria vipi, hivi mungu ambaye hajaonwa na mtu hata moja kati ya mabilioni waliowahi kuishi unakuja kulinganisha na kukosekana ushahidi mahakamani? Aisee umenichekesha, so hiyo ndo evidence yako kua mungu yupo? Basi kwa sababu hiyo tuseme thor, zeus, na greek gods wengine wote wapo maana hakuna mwenye ushahidi ila kuna watu walisema kua waliwaona.

Wabongo mmefungwa kwenye jela la dini ambalo ni la kijinga sana, mnakaa kuishi kwa kuoga wa kijinga kuogopa vitu ambavyo havipo, hahaha, toka zunguka duniani ujionee maisha, nchi ambazo population kubwa hawana dini cha kushangaza ndizo zinaongoza kwa utulivu, amani, furaha, sio bongo mnajidanganya tu. Waafrika dini zimewavuruga sana vichwa. Hamtokuja kuendelea kamwe 95% ya population mnaamini upuuzi.
 
Back
Top Bottom