Mzee Wa Rubisi
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,757
- 449
Napenda kuwa uliza wanauma,kipindi hiki mnapokea simu au ujumbe wa aina gani.?
"Dear Kodi ya pango inaisha tarehe 11-January 2012, na halafu mwenye nyumba ameongeza kodi.." I Love You..
"Baby Xmass itakuwaje? Nataka nikafanye shopping Mariedo, na pia nataka kwenda kusuka ILALA, naomba 500,000" XOXO
"Mpenzi sasa "Kova" utamdanganya vipi kuhusu ile safari yetu ya Zanzibar on New year Eve?" Missing You badly..
"Sweetie naomba uniongezee 600,000 niweze kumalizia school fees ya mdogo wangu kule Kantalamba.." Kiss & Hug...
"Mama na wadogo zangu watakuwepo wakati wa sikukuu hizi kwahiyo naomba hela ya shopping ya chakula my love.."..Bye
"Sweetheart nimeishiwa naomba pesa ya mafuta kama 200,000 ukiweza pliz..." Chat later baby..
ukamjibu je au ATM hipo vizuridia kuna mtindo flani ntaka nisuke afu bei rahisi ni sh laki moja tu frm Mwajuma ndala ndefu.
Honey im in need of 100thou but nina 20thou yaani i dont know what to do.shamim wa kimara
DUU,so ?Honey im in need of 100thou but nina 20thou yaani i dont know what to do.shamim wa kimara
Kwahiyo nini kinaendelea kuwa na mimba tu??nahisi nina mimba
Kwahiyo nini kinaendelea kuwa na mimba tu??