Kipindi hiki wanaume mnapokea Simu na Msg za aina gani.?

dear mambo vipi nitasuka lini?na na ela ya sikukuu mbona sijapata sms ya m-pesa
 
Hii nimekutana wiki iliyopita wikiendi, saa 2 asubuh. Mambo honey, naomba laki 1 niongeze kwenye pesa yangu, nataka kununua simu . Hii nilinayo mbovu, hata kama huna naomba unikopee. Nilipomwambia anisubiri nitamfutie siku chache zijazo, penzi limelega, no mawasiliano
 
hivi unaona raha gani kunipotezea toka juzi nimekuomba laki moja umesema huna wakati uwezo wa kunipa- X Gf wangu
 
Kwani jinsia ina mahusiano gani na kuwa na uchumi mkubwa?jamani hii ni 2011 sio 1011.
 
swit hat i love u
usisahau ile vacation uloniahidi nikimaliza chuo. Tena nachagua Cape town.

Kidogo nimjib kmamae, nyumbani sijanunua hata mahindi ya kande
 
Shikamoo mjomba, nimefaulu kwenda shule ya kata ina mwalimu mmoja tu, naomba nije kwako nisome Tambaza au feza boys.
 
"Dear Kodi ya pango inaisha tarehe 11-January 2012, na halafu mwenye nyumba ameongeza kodi.." I Love You..

"Baby Xmass itakuwaje? Nataka nikafanye shopping Mariedo, na pia nataka kwenda kusuka ILALA, naomba 500,000" XOXO

"
Mpenzi sasa "Kova" utamdanganya vipi kuhusu ile safari yetu ya Zanzibar on New year Eve?" Missing You badly..

"Sweetie naomba uniongezee 600,000 niweze kumalizia school fees ya mdogo wangu kule Kantalamba.." Kiss & Hug...

"Mama na wadogo zangu watakuwepo wakati wa sikukuu hizi kwahiyo naomba hela ya shopping ya chakula my love.."..Bye

"Sweetheart nimeishiwa naomba pesa ya mafuta kama 200,000 ukiweza pliz..." Chat later baby..

hahahaha umemaliza ni kweli kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom