Kipimo cha kujua kama mwanamke ana akili ama hana akili kwa kutazama mapishi yake

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,118
27,121
Kama mwanamke anapika chakula anajaza chumvi nyingi kwenye mboga basi kuna uwezekano mkubwa sana mwanamke huyo akawa na akili ndogo ama hana akili kabisa.

Na kama chumvi inayo tumika ni chumvi hii ya kemikali ( ya dukani) basi uwezekano wa mwanamke huyo kutokuwa na akili unakuwa Mara dufu.

Na kama mwanamke huyo atakuwa ana serve chumvi mbichi ya dukani kwenye chakula anacho kileta mezani basi uwezekano wa mwanamke huyo kuwa na akili ndogo ni mara kumi ya namba mbili hapo juu.

Kama mwanamke huyo anaweka chai au chakula cha moto kwenye kikombe cha plastic basi unapaswa kuwa na uhakika kwamba mwanamke huyo ni mwehu kabisa. Something is missing in her head. The right part of her mind has left and the left part is not right

Mwanamke anaechemsha maji ( ya kudownload) kisha ana yapoza kwenye vyombo vya plastic huyu pia ni mwanamke asie na akili kabisa.

Kwanini? Wanawake majumbani ndio wasimamizi wakuu wa vizazi vyetu kwa sababu wana play a very important part kwenye afya za watoto na familia yote kwa ujumla. Part hiyo sio nyingine ila ni kwenye mapishi. Chakula bora ( mapishi bora yenye kuzingatia afya) ni muhimu kwa ustawi wa taifa lolote lile kwa sababu chakula ndio engine ya uhai wa mwanadamu. Hata tulipokuwa form two tulisomaga moja kati ya factors muhimu for the development of a kingdom was " development of agricultural technology " ambayo ili guarantee upatikanaji wa chakula bora kilicho pikwa kiubora na mwisho wa siku kufanya watu kuwa na afya njema na kuzaliana zaidi.

Mtu mmoja mwenye hekima na busara aliwahi kusema " Let food be thy medicine and medicine be thy food "

Hii ni philosophy inayo tumiwa na mataifa yaliyo piga hatua kubwa kimaendeleo ya kiteknolojia duniani kama vile Japan, China na Israel.

Chakula kinapaswa kuwa dawa namba moja.

Chumvi ya dukani kila siku inaimbwa kwamba haifai. Ni sumu mbaya sana isababishayo magonjwa hatarishi kama vile presha, figo na magonjwa mbalimbali ya moyo( KV( kwa vilaza) ; presha na magonjwa ya figo yapo kwenye kundi la magonjwa ya moyo kwa sababu vyote vina athiri utendaji kazi wa moyo.

Kama mwanamke, anapaswa kuwa very aware na fact hizi muhimu sana.

Mwanamke wa namna hii hapaswi kuwa mke kwa sababu hana akili. Ataua vizazi vyako.

Hawa ndio wanawake wanao wapoozea watoto wao chai ya moto kwenye vikombe vya plastic . Eti hawajui kama vitu vya moto kwenye plastic husababisha kansa zaidi ya aina hamsini.

Wanawake hawa ndio chanzo cha kufurika kwa wodi za wagonjwa wa kansa pale Ocean Road wakati zamani kansa ilikuwaga ugonjwa wa wazungu na matajiri kwa sababu walitumia makemikali ila siku hizi hadi kina Jumanne Mashaka nao eti wana kansa.

Hawa ndio wanawake wanao sababisha kuwepo na watoto wadogo kabisa wenye sukari au presha.

Hupaswi kuoa mwanamke wa aina hii kwa sababu hakufai. Unapo taka kuoa au kuzaa na mwanamke u must first see a mother in her before making a baby with her.

Mwanamke huyu hana quality za kuwa mama wa watoto wako.

Ndio hawa wanaletea watoto wao wadogo magonjwa kama sukari na presha then wanaenda kumsumbua Mwamposa wakiimba " Anasumbukia maisha yangu anasumbukia maisha yangu"

These kinds of women are a true definition of " My people are destroyed by lack of knowledge "

Jana nimekuja Morogoro nikapita kwenye mgahawa mmoja. I was so disappointed kukuta mboga yenye chumvi nyingi hadi imeifunika ladha ya mboga. Yani ni kama vile nilikuwa nakula ugali na chumvi yenye nyama na sio ugali na nyama iliyo tiwa chumvi. Yani ukimteka mtu ukamfunga Kitambaa machoni ukamlisha hiyo mboga halafu muulize ni mboga gani hiyo atakujibu " kaka jambazi sijui kwa kweli"

Nikikutaga mapishi ya namna hii huwaga nastop Kula hapo hapo kwa sababu siwezi kula chakula kilicho pikwa na taahira. Huwaga namuona mpishi kama ana utindio wa ubongo vile.

Kwa bahati mbaya sana wapishi wengi wa kibongo wapo hivyo. The only thing which they can cook properly is hot water.

Ndio maana nikiwaga zangu mjini daslamu nakulaga zangu pale AL URUBA HOTEL kwa wasomali. Chakula safi kabisa. Big up sana wasomali kwa umakini wenu kwenye mapishi.

Kwetu sisi wabongo ni very big no.

Watu wa Tanga na wapemba kidogo wanajitahidi.. Nasikia na wanyamwezi.

# Nimeanza kusoma mapishi .

# Nitaenda VETA kusoma Food Production and then baada ya hapo nitafute chuo cha mambo ya Culinary nijifunze mapishi niwe najipikia mwenyewe.

Au nitaenda kujifunza mapishi kwa Nourhan

Dada zangu watanzania, mwanamke ni mapishi. Ukitaka kuolewa wala usiende kwa mganga au kwa Mwamposa wewe mualike mwanaume unaempenda kisha mpikie chakula kizuri, kesho yake anatangaza ndoa..

Kuna siku mtasikia nimepiga mtu Mateke na ngumi.
 
Chumvi na mafuta naweka kwa mbali, mboga za majani siivishi sana
Mama angu hapendi anasema sijui kupika mboga, mume wangu atapata shida eti

Akiwa home anapenda kupika mwenyewe
Anajaza mafuta kwenye mchuzi na mimi nakeleka sili!
 
Ur a wife/ mother material . Mimi nikilaga chakula cha mwanamke halafu nikakuta kina chumvi nyingi basi kitu cha kwanza kabisa ambacho huwaga Nina kuwa na uhakika nacho kuhusu mwanamke huyo ni kwamba ana NONGO( weusi kati kati ya mapaja/ dark under thighs) kwa sababu ni mwanamke asie na akili tu ndio anaweza kuruhusu kuwa na Nongo na mwanamke anae jaza chumvi hana akili kabisa.
Chumvi na mafuta naweka kwa mbali, mboga za majani siivishi sana
Mama angu hapendi anasema sijui kupika mboga, mume wangu atapata shida eti

Akiwa home anapenda kupika mwenyewe
Anajaza mafuta kwenye mchuzi na mimi nakeleka sili!ir
 
Ulalamishi mwingi kwa mwanaume ni sifa kuu ya gubu.Kwanza mwanaume kwa nini uleule kila wakati nyumbani kwako?Hautakiwi kueleweka muda,hitaji na hisia zako kila wakati.Ugangwe wa kiume umeisha kabisa.

sawa
 
Kuna kipindi huwa sina akili kabisa. Hadi huwa naomba mtu anisaidie kuweka chumvi kwenye chakula maana nikiweka mimi😂😂😂😂. Na mtu akiweka mimi niki taste naona hakina chumvi kabisa ni lazima niongeze tena kwenye sahani.

Ila kuna kipindi akili zinarudi naanza kupata ladha ya chumvi bila kuzidisha.
 
Usiwasifie Wasomali, wapemba na hao watanga wako hawajui kupika ugali. Ugali wao ni kama uji ulioganda.

Wanaume tunakula Dona ngumu pembeni pitiku, nswalu au safwe. ukipata na kanyama kakuchoma inakua Safi kabisa.
 
Kuna mwanaume mmoja alifurumia vyombo vya plastiki mezani vilivyotumika kutengewa chakula. Hata mimi hutoa somo kwa mpenzi/mke wangu asinitengee chakula kwenye vyombo vya plastiki si heshima. Nafundisha mpaka namna ya kuweka chumvi kiasi na mafuta ya wastani kwa mwenza wangu. Ila kuna wengine ni vichwa maji hawajifunzi kitu na huwa nawasusia chakula sili. Chumvi ndi, mafuta ndi ukila unaanza kujisikia nyabenyabe
 
Back
Top Bottom