Akili ya Mwanaume vs Mwanamke

mr pipa

JF-Expert Member
Jul 26, 2021
2,330
4,853
Kwanza mnapaswa kujua akili wote mnazo isipokuwa mmetofautiana kwenye uwezo wa kutumia hizo akili na kufanya maamuzi.

Brain sciens inaonesha mwanamke ana ute mweupe, whitematter mwingi zaid kwenye ubongo wake na mwanaume ana ute wa kijivu mwingi zaidi ndani ya ubongo wake ndio mana mwanamke anapopokea taarifa/jambo kutoka katika viungo vya fahamu.

Sensory org mfano akisikia jambo ule ute mweupe ktk bongo yake unasaidia kupeleka taarifa kile alichoambiwa katika mfumo wake wa fahamu kwa hiyo ni rahisi kwake kuchakata taarifa kwa haraka zaid na kuoanisha matukio na kuja na hitimisho.

Ila mwanaume akipokea jambo ute wa kijivu unamsaidia kufocus kwenye hicho alichopokea kabla hajaanza kuhusisha matukio ya nyuma ndio mana ni rahisi sana kwa mwanamke akafungua kesi hapohapo akatoa hukumu hapohapo ila akaja kujuta baadaye.

Hayo yote kutokana na jinsi vile ubongo wake na wako mwanaume unavyofanya kazi kwa utofauti kwahiyo migogoro mingi hutokea ndani ya ndoa sababu kubwa ni utofauti na ufanyaji kaz wa bongo zenu
 
Inategemea mtu na mtu, sawa Kuna hizo fact lkn pia kumbuk maamuz hutegemea na jins taarifa kweny subconscious mind yako Zina corelate vp na jambo ambalo limetokea. So haitegemei gender. Sana sana ni mentality na identity ambayo mtu anakua ame believe kua ni ya ukweli kwake. Vyote hivyo huweza kubadilika with learning and unlearning things.
 
Umeeleza ki neuroscience zaidi . Kisaikolojia mwanamke anaji identify na vitu vingi vidogo kwa vikubwa kuanzia viungo vyake, vitu anavyomiliki, watoto wake ndugu zake n.k ko ukiongelea in a negative way chochote ktk hivyo lazima ugomvi uibuke yeye anachotaka uongee in a positive way mfano ukimwambia anamacho mazuri, mtoto mzuri, simu nzuri, tabia nzuri utaona anafurahi au kukupa ushirikiano, pia mwanamke hua anaji identify na pesa za mwanaume ukimnyima ananuna as if pesa ni zake
 
Back
Top Bottom