Kipima joto cha leo.....

Kipima joto cha leo.....

Walifumaniana jana na Ashadii,wakaparurana,kajifungia ndani anauguza madonda,chezeya Ashadii mtoto wa kitanga?
eeeee ngoja mwenyewe atakuja usutwe mpaka ukumbuke kwenu katerero gulioni!
 
kama kweli unanitaka basi nilipie mshiko na mimi niwe Jf Bronze Member...
Kinyume na hapo, kwaheri :car:

kwa sababu nakupenda toka kifuniko cha moyo wangu, nitakulipia tanzanite........ Loh nimefurahijeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
hivi hizo kura tunapiga kwenye 15___? au 15xxx?? msaaada tafadhali
 
Mmhhh.......mimi napita tu, jana nilikuwa na PJ mambo aliyonambia kuhusu chitchat sina hamu nayo, ndio maana nilikuwa najishangaa nimepungukiwa na upako. Nilifikiri ni flirting kumbe kweli.
 
Nyie mabishosti na mabro wa dar, Pj yupo dar twendeni kesho tukamchangamkie.
 
no 2 ni H, coz mi mwenyewe ni victim!

waambie ma dearest manake wamezidi kumzushia tu waambie kwamba hata gfsonwin kungwito alishamjaribu alipompaka dawa na akagundua kuwa yuko gado.
 
Bishanga una bahati bwanangu yupo afu anataka huduma 24/7
ningekukamua kunifananisha na Mwigulu Nchemba
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom