Kipima joto cha leo.....

  1. N, Nilipoenda kumtembelea na mume wangu, alitwambia atatununulia BMW Z4, but tukakataa sababu tunalo tayari (mi mwenyewe nina misifa misifa ya kihaya hapa)
  2. H (Linapanda nimgongeapo like)
  3. S ila inawezekana
  4. H, kachanga damu ya mchina na mmasai
  5. S
  6. S
  7. H, hajauchuna, anatumia mchina
  8. H. Msinichonganishe na King'asti
  9. H, sio kwamba hataki. kuna tofauti kati ya kutaka na kuweza.
  10. S, ngoja nimuulize AshaDii
 
Last edited by a moderator:

Roulette,
yani mwili wote umenisisimka jamani.
Kitu cha Tantalila
 
Last edited by a moderator:
1.Eti bishanga ni tajiri kuliko balesa? N (Kwa sababu una mashine 10 za kusaga unga wa mtama)
2.Eti Asprin ujanja wa bure tu kumbe jogoo halipandi - S
3.Eti kumbe Kongosho katika maisha halisi ni Mwigulu Nchemba - N
4.Eti Zinduna ni mhaya pyua - H...... (amechanganya na damu ya kimakonde)
5.Eti BADILI TABIA ana mabwana kibao jf - N........ ila msiri sana
6.Eti Eiyer naye siku hizi anatoa 'like'? N (ila kwa mademu tu)
7.Eti Madame B bado ameuchuna hadi leo hatoi 'like'? H
8.Eti maMoDs wanaanza mgomo kesho kisa Paw kateguliwa kiuno na Roulette? - N (najua siri ila naogopa selo)
9.Eti Erickb52 na Amyner wameachana,kisa erick hataki kumlipia Amyner u bronze member? N
10.Eti kumbe gfsonwin na Kaizer wanafanya kweli? N (Ulikuwa hujui Kaizer ni shemeji shemeji huku azima taa)

matokeo ya kipima joto yatatolewa kesho muda kama huu.
 
Last edited by a moderator:
  1. N, Nilipoenda kumtembelea na mume wangu, alitwambia atatununulia BMW Z4, but tukakataa sababu tunalo tayari (mi mwenyewe nina misifa misifa ya kihaya hapa)
  2. H (Linapanda nimgongeapo like)
  3. S ila inawezekana
  4. H, kachanga damu ya mchina na mmasai
  5. S
  6. S
  7. H, hajauchuna, anatumia mchina
  8. H. Msinichonganishe na King'asti
  9. H, sio kwamba hataki. kuna tofauti kati ya kutaka na kuweza.
  10. S, ngoja nimuulize AshaDii
Ili la AshaDii we nae unataka ulikoroge,unataka wauane?
na juu ya nini kumtetea Asprin wakati habari zake nimepewa na cacico (ingawa jamvini anavunga). King'asti.......mmmmhhh haya!
 
Last edited by a moderator:
sio kwamba siku hiyo hukufanya jitihada za kutosha kumpulizia? maana Asprin kazi kweli mpaka umuimbie 'simama dede nikupe mkate' na kapenseli kake kakiinuka unakaimbia 'kasimama peke yake kaona mchumba wake'.

Hahahaaaaa we Bishanga hamnazo kabisaaa hahahaaaaa, babu Asprin njoo mwaego ujionee
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom