1.Eti bishanga ni tajiri kuliko balesa?
N (Kwa sababu una mashine 10 za kusaga unga wa mtama)
2.Eti
Asprin ujanja wa bure tu kumbe jogoo halipandi -
S
3.Eti kumbe
Kongosho katika maisha halisi ni Mwigulu Nchemba -
N
4.Eti
Zinduna ni mhaya pyua -
H...... (amechanganya na damu ya kimakonde)
5.Eti
BADILI TABIA ana mabwana kibao jf -
N........ ila msiri sana
6.Eti
Eiyer naye siku hizi anatoa 'like'?
N (ila kwa mademu tu)
7.Eti
Madame B bado ameuchuna hadi leo hatoi 'like'?
H
8.Eti maMoDs wanaanza mgomo kesho kisa
Paw kateguliwa kiuno na
Roulette? -
N (najua siri ila naogopa selo)
9.Eti
Erickb52 na
Amyner wameachana,kisa erick hataki kumlipia Amyner u bronze member?
N
10.Eti kumbe
gfsonwin na
Kaizer wanafanya kweli?
N (Ulikuwa hujui Kaizer ni shemeji shemeji huku azima taa)
matokeo ya kipima joto yatatolewa kesho muda kama huu.