Kipima joto cha leo.....

Kipima joto cha leo.....

Kwa hiyo unataka kusema obama dakika tatu mbele?
Sio sana kwa kuwa inawezekana aliacha zamani sana..!
Siunajua huwa inakaa kichwani kwa miaka 7 tu then inakuwa normal so atakuwa kaanza kurudi kawaida
 
shemeji Kaizer, dada yangu mbona leo ni not reachable jamani kha??? nimemmith pande hizi.

Walifumaniana jana na Ashadii,wakaparurana,kajifungia ndani anauguza madonda,chezeya Ashadii mtoto wa kitanga?
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaa TANMO ni mashine sio akina Bishanga wanaolegea kwa kuitwa Sweetie au baby
Hahahaaaa pale ni gang Star hupawezi baki na akina haoooooo!

naniliu haina ugangstar, halafu nina mpango wa kuhamia jukwaa la utambulisho, niwawahi huko huko.... Ila wenye mkwanja tu
 
Last edited by a moderator:
naniliu haina ugangstar, halafu nina mpango wa kuhamia jukwaa la utambulisho, niwawahi huko huko.... Ila wenye mkwanja tu
Kule kuna wenye kamba miguuni lazma wakukwepe wakihofia kuwa wanaingizwa mijini
 
achana naye huyo TANMO hana lolote halafu anapenda umbeya mpaka akaanzisha gazeti.
Bishanga kuna mwanaume mmoja humu ndani kila nikimfukuzia anakwepa, kila nikimtokea anaingia miyini, anaitwa TANMO, tafadhali msaada peleka ujumbe........
 
Last edited by a moderator:
hivi siku hizi kuwa mkweli ndo kutokuwa na hela? Halafu huyo pou mwenyewe.....sijui...nitakuPM nikupe story zake....mtu wa bilicana sana huyo.
Bishanga utakuwa huna hela wewe!:alien:
:A S 465: mbona una majungu sana? afu muulize Asprin kilichompata kwa kunilengeshea kwa Erickb52, PAW atakushughulikia hutoamini! :flypig:usinitaje!
Roulette, siku hizi hatugombei wanaume kabisaa! Ila ukimuona PAW wangu anakufuatilia ujue nimemtuma.:israel:
 
Last edited by a moderator:
hivi siku hizi kuwa mkweli ndo kutokuwa na hela? Halafu huyo pou mwenyewe.....sijui...nitakuPM nikupe story zake....mtu wa bilicana sana huyo.
Hajui eeeeh
Mwambie hatujui vema huyu
 
Hehehehee King'asti unajifanya unamkinga kifua eeeh
Mi nataka Roulette nimuweke mikononi ili namimi nijidai pasiwe na wa kunigusa...!
Roulette mama....come to ma world nikupe love hadi wanoko washangae....!
Say yes nikupe surprise sasa hivi!

Ukisikia mtu anadai ban kwa nguvu ndo style hii sasa,subiri utakiona cha moto.
 
Last edited by a moderator:
Bishanga kuna mwanaume mmoja humu ndani kila nikimfukuzia anakwepa, kila nikimtokea anaingia miyini, anaitwa TANMO, tafadhali msaada peleka ujumbe........

kama kweli unanitaka basi nilipie mshiko na mimi niwe Jf Bronze Member...
Kinyume na hapo, kwaheri :car:
 
Back
Top Bottom