Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,554
- 11,485
Heheheeee umbea tu RemmyMmhhh.......mimi napita tu, jana nilikuwa na PJ mambo aliyonambia kuhusu chitchat sina hamu nayo, ndio maana nilikuwa najishangaa nimepungukiwa na upako. Nilifikiri ni flirting kumbe kweli.
We yanakuhusu nini?
Lol hata wewe na mimi ni kweli eeeh?
Hahahaaa nimuulize PJ?
BTW
Mzima wewe?
Last edited by a moderator: