Kipima joto cha leo.....

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,050
Andika "N" kama jibu ni Ndiyo
Andika "H" kama jibu lako ni Hapana
Andika "S" kama hujui jibu.
Swali letu la leo la kipima joto ni:
1.Eti bishanga ni tajiri kuliko balesa?
2.Eti Asprin ujanja wa bure tu kumbe jogoo halipandi?
3.Eti kumbe Kongosho katika maisha halisi ni Mwigulu Nchemba?
4.Eti Zinduna ni mhaya pyua?
5.Eti BADILI TABIA ana mabwana kibao jf?
6.Eti Eiyer naye siku hizi anatoa 'like'?
7.Eti Madame B bado ameuchuna hadi leo hatoi 'like'?
8.Eti maMoDs wanaanza mgomo kesho kisa Paw kateguliwa kiuno na Roulette?
9.Eti Erickb52 na Amyner wameachana,kisa erick hataki kumlipia Amyner u bronze member?
10.Eti kumbe gfsonwin na Kaizer wanafanya kweli?
matokeo ya kipima joto yatatolewa kesho muda kama huu.
 
Kwi kwi kwi kwi,
No. 2
,N
Japo mwenyewe hajatoa tamko rasmi.

sio kwamba siku hiyo hukufanya jitihada za kutosha kumpulizia? maana Asprin kazi kweli mpaka umuimbie 'simama dede nikupe mkate' na kapenseli kake kakiinuka unakaimbia 'kasimama peke yake kaona mchumba wake'.
 
Last edited by a moderator:
taarifa zangu za kiintelijensia ni za uhakika 100% si unaona mafrestresheni yamemfanya Amyner asionekane jamvini siku hizi,acha ubahili bana,mwanamke matunzo.
Hahahahaaaa Bishanga mimi na Amyner hatuwezi kuachana kamwe
Si kwamba kapotea bali amesafiri kikazi na atarudi kabla ya weekend hii
Jibu langu ni HAPANA hatujaachana
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom