Mi hua napigwa kitandani tu !!!
Point of correction!Sijasema dini imesema mwanamke asipigiwe naomba urudie kusoma nilichokiandika.....
kwani home uwanja wa mapambano???
umaga na john cena or....
tutaelezana kwa mdomo kama kuna sehemu nilipokosea na kurekebishana..
kipigo hakijengi
ukipigwa kindani unapigika? Usije ukajisifia hapa kumbe panya kafwia huko
Ukinuka wewe basi wahisi wenzio wananuka etiiii
ha ha ha haya ahsante bana... Dr.Mo na asakutesamenjooni mumsaidie big_in kumthibitishia hii diagnosis yake ya minazini 🙂
Hivi kwa mfano amekutwanga makonde utachukua hatua gani?
hahaa mie huwa namwambia nitaenda police ..:A S wink:
no thnx!Can I ask personal question?
unaniota eee?! Haya w endelea kuniota. Halafu naanza kukuhisi ww siku za karibuni ntakujaza mimba
Mimba labda umpe mbu kwa uwezo ganiii ulionaoo, nishajazwaa na mwenye uwezo wa kujaza mimba, we kajaze makoponii
Sasa kwa taarifa yako wanarudia ila kwa siri ili usijue,kipigo hakifundishi kinajenga UOGA!!
Divition 5 mnasumbua
he he he umenifurahisha wewe...Sasa nani ni division five hapo? Naona we umeandika divition duh
Sent from my iPhone using JamiiForums
Vibaka hawaendi jela huwa wanaishia polisi na kurudi kitaa bila tabu. cheki wale walionyea debe jela uone adabu zao.kusingekuwa na vibaka basi!