Kipigo kinajenga ama kinabomoa?

Kipigo kinajenga ama kinabomoa?

Suala sio kuruhusu hapa, suala ni uwezo wa mwenye kutaka kukupiga kuamua kufanya hivyo. Ukisema huruhusu maana yake nini?? Ukipigwa hata kama ukienda polisi au mahakamani ukweli utabaki kuwa ushapigwa.
namaanisha sitokaa nipigwe na nisifanye lolote....
 
Unauliza tena maswali yaleyale?? Huyo jamaa hapo juu si kashakueleza au hujamuelewa?
nakuuliza ww kuhusu hao wafungwa ulowaongelea...kwani jela kuna udini?huyo kaleta aya za dini...
 
Kwa nisivopenda kupigwa mie, ukinipiga nakutahiri....
hahaha Eve bwana. halafu wewe Eve unafaa kupigwa kwa upande wa kanga tu. Of coz kuna wanawake huna haja ya kuwapiga kama ambavyo darasani kuna wanafunzi huwa wanamaliza shule bila kupigwa.

Ila hizi dizaini zilizopo mtaani nyingi bila makofi hazisomeki kabisaaaa.
 
The best use of available resources your time,energy and efforts and uses them to create positive change hoja gani?
na hoja yangu ni negative?seriously?hata hujitambui wewe,maana at least wenzako wanaopiga wanajitetea na wasiafiki pia wanasema we hupo kokote na hujasema lolote.Mfano dada yako apigwe na mumewe aje kwako jicho limemvimba na mkono umevunjwa kisha hajapasi nguo ungefanya nini big_in?
 
Last edited by a moderator:
Wanawake nyie wa sasa mnaendana sana na makofi saa nyingine

Ushndwe we Nokia83. Kwann tuendane na makofi??? Ungekuwa wangu hyo nyumba ingekuwa uwanja wa ngumi kwa kwel. ..nngekung'ata meno and becoming SUAREZ
 
Last edited by a moderator:
Kipigo kina pande 2 chaweza saidia ama kikamfanya mtu akawa haambiliki, kwa kuwa ashajua hata akikosea adhabu yake ni kupigwa tu.
 
Aisee nimepigwa sana shuleni bado tena na ukubwa huu eti nipigwe na mume au sijui mpenzi?Hapana kwakweli hapa nilipofika simruhusu yoyote kunipiga labda kama nivamiwe na wezi
 
Anyway, nijuavyo mm, sababu za kupiga zinatofutiana. Na impacts za kupiga whether ni kufundisha, kurekebisha ama kuhofisha inategemea pia na mpigwaji mwenyewe.

Mara nyingi kama si zote, mzazi,mlezi, mwalimu Ama mpenzi (Hasa wa jinsia ya me) anafikia uamuzi wa kupiga kwa Lengo la kutoa adhabu Kali Ili siku nyingine mkosaji asirudie kufanya makosa yale ambayo yeye mtoa adhabu ameyaona kama ni makubwa na yenye Kuudhi sana. Na mara nyingi kama si zote kipigo Huwa kinafuata baada ya oral warnings kuwa zimetolewa na hazikuonyesha kuzaa matunda yaliyokusudiwa.

Kuna exceptions za wale ambapo Huwa tunawaita Wenye mikono miepesi. wao Huwa wanapiga tu sometimes bila hata sababu za msingi.

Mara nyingi adhabu hii imeprove successful kwa kumbadilisha mtu tabia. Ila ni mara chache sana imeprove failure kwa kumfanya mpigwaji awe sugu.

Hili la usugu Sasa linategemea sana na utukutu wa asili wa mpigwaji mwenyewe. Ikumbukwe watu tumeumbwa tofauti sana. Nimeshashuhudia mtoto mmoja wa kiume kwa group hili la usugu. Si nzuri sana .

Mimi kwa mfano, si mpigaji kabisa. Tangu mtoto wangu azaliwe, Mpaka leo Ana 4yrs, sijawahi kumpiga hata siku moja. Though maudhi anayo kama alivyo binadamu mwingine.

Siku zote nimekuwa sipigi mwanamke. Ila nilishalazimika sometimes back kuassume adhabu ya kipigo kwa girlfriend wangu mmoja kutokana na maudhi ya makusudi ya kupindukia. Na hii ilikuwa inatokea unconsciously, nilikuwa najikuta tu nishaanza kutoa kipigo. Basically she was fighting back na Nina some bites hivi mikononi. Kabila la mdada huyu ndie hao unaosema kwao kupigwa ni sehemu ya Mahaba. Trust me its quite a bad experince.

Kwa hiyo si kila anaepiga nadhamiria. Ni nzuri kulifahamu hilo pia.

Miss u gorgeousmini
 
Ahsante kwa mchango wako allydou na kwa kufunguka...kupiga sio kuzuri kwa kweli na inashangaza baadhi ya watu wanavyoshobokea na inasikitisha vilevile kwasababu inaonesha jinsi ganii tulivyoathirika kutoka na fikra na malezi tulolelewa nayo kwahio tunafanya kipigo kama hulka yetu na ndio njia pekee ya kumuadhibu mtu,wakati si sahihi!Kusema kweli nawasikitikia mno wanawake wanaokaa wakakungutwa tu maanake mimi ukiniletea za kuleta tutajeruhiana....Ni cowardness mtu mzima ashindwe kuongea na mtu mzima mwenzie kwa maneno mpaka ifikie vitendo!
 
Last edited by a moderator:
na hoja yangu ni negative?seriously?

Pessimistic people tend to view problems as internal, unchangeable, and pervasive,whereas optimistic people are the opposite. Pessimism has been linked with depression,stress,
 
sasa unataka unipe diagnosis?:becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky:
 
Ushndwe we Nokia83. Kwann tuendane na makofi??? Ungekuwa wangu hyo nyumba ingekuwa uwanja wa ngumi kwa kwel. ..nngekung'ata meno and becoming SUAREZ

Nkitoa kipigo hata hayo meno hutokuwa nayo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom