Kipigo kinajenga ama kinabomoa?

Kipigo kinajenga ama kinabomoa?

Kuna vipigo vya asili kama huko kanda ya ziwa!
 
Ulikuwa unataka ujioneshe tu kama wewe mbabe....unaweza kumfundisha mtu bila kumpiga na hio ni fact!
Lakini pia unaweza kumfundisha kwa kichapo. Na ndio maana hata Jamhuri inalitambua hilo, nenda jela kule kuna watu wanatiwa bakora kama moja ya adhabu.
 
Habari zenu wana JF wenzangu,
Kuna pindi niliangalia kimenipa inspiration,kuna jamii ya watu fulani ambao kipigo kwao ni PRIDE,yaani mwanamke anafurahia kupigwa/kuchapwa mpaka atoke damu na halii anafurahia...Kulia kwao ni mwiko,mtu analia akifiwa tu..ni ushujaa na ushupavu mkubwa kwa watu hao.
Hata kwenye vitabu vya dini vinasema mwanamke anatakiwa amtii mumewe.Kwa kufikiria harakaharaka kipigo kinatumika kama njia ya kufundisha au kukosoa na kikumbusho kwamba mtu hakuwa muadilifu na amevunja au kukiuka sheria fulani.Tangia enzi za ukoloni ilikuwa ni kawaida sana haswa kwa watumwa kupigwa na kuadhibiwa iwapo kama hawatekelezi amri walizopewa na ndio maana ukaitwa UTUMWA.Kipigo kilikuwepo hata nchi za magharibi miaka ya 60-70 mpaka haki za binaadamu zilipopatikana ndipo zikawekwa sheria kali kupinga KIPIGO

  • Tuje kwenye mada kuu sasa,Kuna kupigwa kwa aina nyingi,kuna kile kipigo cha watoto/wanafunzi kama njia ya kuwafundisha maadili mema,na kipigo hiki kinaweza kuwa na faida na hasara zake.Kuna walio wengi walishakiri wenyewe kwamba walikuwa watukutu mno na kama wasingewekwa sawa na wazazi wao wasingefika walipofika leo.Je hii ni dhana tu waliojiwekea watu kichwani kwamba kipigo kimewanyoosha?Na tukumbuke pia kuna waliopigwa mno mpaka wamekuwa sugu kwasababu wanajua nikifanya hivi nitapigwa halafu basi.Kwa mtazamo wangu mm kipigo hakifundishi bali kina jenga uoga.Nimegundua kitu kimoja muhimu sana kwenye jamii yetu kwamba watoto na wazazi hawana mawasiliano mazuri.Mfano baadala ya kumuonya mtoto na kumueleza madhara ya aliyoyafanya na kwanini asifanye alivofanya,tunapiga hapo tunakuwa hatujengi bali tunabomoa.Wazazi wengi pia wanasahau kuna umri fulani ukifika lazima mtoto atapitia vikwazo tofauti kwahio yeye kama mzazi anatakiwa amuongoze kwa hekima na sio kwa kumjengea uoga,anatakiwa awe mfano mwema.
  • Kuna wale ambao hata akigombana na mwenza wake hasira anamaliziwa mtoto,Kila aliye wa juu anamuadhibu wa chini yake yule alomzidi.
  • Kuna kupigwa kwa mke na mumewe!Hapa ndipo nisipopaelewa,hiki kweli utamkunguta mtu mzima mwenzio mwenye meno 32 kisa amekukera,kwani ukiongea nae ujumbe hautofika.Kwa mtazamo wangu mimi maneno yanauma kuliko kitu kingine,Kuna maneno mtu ukiambiwa unaumia unaweza hata ulie na ujutie matendo yako.
  • Hivi kipigo kweli kinajenga kama wanavyofikiria wengi?Kuna wezi wanaoiba wakapigwa mpaka karibia kifo,lakini wanaenda kuiba tena!Unadhani kipigo kimemfundisha kitu?Mwanafunzi mtukutu,ambaye anapigwa na hatii anayoamrishwa,je kipigo kimemsaidia?

hapo kwenye dini: sio dini zote zilizo kinyume na kupigwa mwanamke. Uislam unaruhusu mwanamke kupigwa na kumewekwa kabisa utaratibu wa kumpiga.

Qur'an (4:34) - "Men are the maintainers of women because Allah has made some of them to excel others and because they spend out of their property; the good women are therefore obedient, guarding the unseen as Allah has guarded; and (as to) those on whose part you fear desertion, admonish them, and leave them alone in the sleeping-places and beat them; then if they obey you, do not seek a way against them; surely Allah is High, Great."

Qur'an (38:44) - "And take in your hand a green branch and beat her with it, and do not break your oath..."
Allah telling Job to beat his wife.


From the Hadith:

Bukhari (72:715) - A woman came to Muhammad and begged her to stop her husband from beating her. Her skin was bruised so badly that she it is described as being "greener" than the green veil she was wearing. Muhammad did not admonish her husband, but instead ordered her to return to him and submit to his sexual desires.

Bukhari (72:715) - "Aisha said, 'I have not seen any woman suffering as much as the believing women'" This is Muhammad's own wife complaining of the abuse that the women of her religions suffer relative to other women.

Muslim (4:2127) - Muhammad struck his favorite wife, Aisha, in the chest one evening when she left the house without his permission. Aisha narrates, "He struck me on the chest which caused me pain."

Muslim (9:3506) - Muhammad's father-in-laws (Abu Bakr and Umar) amused him by slapping his wives (Aisha and Hafsa) for annoying him. According to the Hadith, the prophet of Islam laughed upon hearing this.

Abu Dawud (2141) - "Iyas bin ‘Abd Allah bin Abi Dhubab reported the Apostle of Allah (may peace be upon him) as saying: Do not beat Allah's handmaidens, but when ‘Umar came to the Apostle of Allah (may peace be upon him) and said: Women have become emboldened towards their husbands, he (the Prophet) gave permission to beat them." At first, Muhammad forbade men from beating their wives, but he rescinded this once it was reported that women were becoming emboldened toward their husbands. Beatings are sometimes necessary to keep women in their place.

Abu Dawud (2142) - "The Prophet (peace be upon him) said: A man will not be asked as to why he beat his wife."

Abu Dawud (2126) - "A man from the Ansar called Basrah said: 'I married a virgin woman in her veil. When I entered upon her, I found her pregnant. (I mentioned this to the Prophet).' The Prophet (peace_be_upon_him) said: 'She will get the dower, for you made her vagina lawful for you. The child will be your slave. When she has begotten (a child), flog her'" A Muslim man thinks his is getting a virgin, then finds out she is pregnant. Muhammad tells him to treat the woman as a sex slave and then flog her after she has delivered the child.

Ibn Ishaq/Hisham 969 - Requires that a married woman be "put in a separate room and beaten lightly" if she "act in a sexual manner toward others." According to the Hadith, this can be for an offense as petty as merely being alone with a man to whom she is not related.
 
Kwa watoto nafikiri ni sawa wakati mwingine kumchapa ,hata bible imeandika usimnyime mtoto kiboko,kiwe moderate kwa
kumsaidia kujua jema na baya,japo pia usimuumize jmn,mana patajengeka uadui tu na atakuwa msiri asikuambie kitu
kwenye mahusiano,sioni kama ni sawa,mwanaume fanya yote ila usinipige,mana nguvu za mimi kukupiga sina na kuongea maneno mengi sana napo siwezi,it's a nightmare kuwaza mtu ananipenda afu ananipiga...
 
Habari zenu wana JF wenzangu,
Kuna pindi niliangalia kimenipa inspiration,kuna jamii ya watu fulani ambao kipigo kwao ni PRIDE,yaani mwanamke anafurahia kupigwa/kuchapwa mpaka atoke damu na halii anafurahia...Kulia kwao ni mwiko,mtu analia akifiwa tu..ni ushujaa na ushupavu mkubwa kwa watu hao.
Hata kwenye vitabu vya dini vinasema mwanamke anatakiwa amtii mumewe.Kwa kufikiria harakaharaka kipigo kinatumika kama njia ya kufundisha au kukosoa na kikumbusho kwamba mtu hakuwa muadilifu na amevunja au kukiuka sheria fulani.Tangia enzi za ukoloni ilikuwa ni kawaida sana haswa kwa watumwa kupigwa na kuadhibiwa iwapo kama hawatekelezi amri walizopewa na ndio maana ukaitwa UTUMWA.Kipigo kilikuwepo hata nchi za magharibi miaka ya 60-70 mpaka haki za binaadamu zilipopatikana ndipo zikawekwa sheria kali kupinga KIPIGO

  • Tuje kwenye mada kuu sasa,Kuna kupigwa kwa aina nyingi,kuna kile kipigo cha watoto/wanafunzi kama njia ya kuwafundisha maadili mema,na kipigo hiki kinaweza kuwa na faida na hasara zake.Kuna walio wengi walishakiri wenyewe kwamba walikuwa watukutu mno na kama wasingewekwa sawa na wazazi wao wasingefika walipofika leo.Je hii ni dhana tu waliojiwekea watu kichwani kwamba kipigo kimewanyoosha?Na tukumbuke pia kuna waliopigwa mno mpaka wamekuwa sugu kwasababu wanajua nikifanya hivi nitapigwa halafu basi.Kwa mtazamo wangu mm kipigo hakifundishi bali kina jenga uoga.Nimegundua kitu kimoja muhimu sana kwenye jamii yetu kwamba watoto na wazazi hawana mawasiliano mazuri.Mfano baadala ya kumuonya mtoto na kumueleza madhara ya aliyoyafanya na kwanini asifanye alivofanya,tunapiga hapo tunakuwa hatujengi bali tunabomoa.Wazazi wengi pia wanasahau kuna umri fulani ukifika lazima mtoto atapitia vikwazo tofauti kwahio yeye kama mzazi anatakiwa amuongoze kwa hekima na sio kwa kumjengea uoga,anatakiwa awe mfano mwema.
  • Kuna wale ambao hata akigombana na mwenza wake hasira anamaliziwa mtoto,Kila aliye wa juu anamuadhibu wa chini yake yule alomzidi.
  • Kuna kupigwa kwa mke na mumewe!Hapa ndipo nisipopaelewa,hiki kweli utamkunguta mtu mzima mwenzio mwenye meno 32 kisa amekukera,kwani ukiongea nae ujumbe hautofika.Kwa mtazamo wangu mimi maneno yanauma kuliko kitu kingine,Kuna maneno mtu ukiambiwa unaumia unaweza hata ulie na ujutie matendo yako.
  • Hivi kipigo kweli kinajenga kama wanavyofikiria wengi?Kuna wezi wanaoiba wakapigwa mpaka karibia kifo,lakini wanaenda kuiba tena!Unadhani kipigo kimemfundisha kitu?Mwanafunzi mtukutu,ambaye anapigwa na hatii anayoamrishwa,je kipigo kimemsaidia?

hapo kwenye dini: sio dini zote zilizo kinyume na kupigwa mwanamke. Uislam unaruhusu mwanamke kupigwa na kumewekwa kabisa utaratibu wa kumpiga.

Qur'an (4:34) - "Men are the maintainers of women because Allah has made some of them to excel others and because they spend out of their property; the good women are therefore obedient, guarding the unseen as Allah has guarded; and (as to) those on whose part you fear desertion, admonish them, and leave them alone in the sleeping-places and beat them; then if they obey you, do not seek a way against them; surely Allah is High, Great."

Qur'an (38:44) - "And take in your hand a green branch and beat her with it, and do not break your oath..."
Allah telling Job to beat his wife.


From the Hadith:

Bukhari (72:715) - A woman came to Muhammad and begged her to stop her husband from beating her. Her skin was bruised so badly that she it is described as being "greener" than the green veil she was wearing. Muhammad did not admonish her husband, but instead ordered her to return to him and submit to his sexual desires.

Bukhari (72:715) - "Aisha said, 'I have not seen any woman suffering as much as the believing women'" This is Muhammad's own wife complaining of the abuse that the women of her religions suffer relative to other women.

Muslim (4:2127) - Muhammad struck his favorite wife, Aisha, in the chest one evening when she left the house without his permission. Aisha narrates, "He struck me on the chest which caused me pain."

Muslim (9:3506) - Muhammad's father-in-laws (Abu Bakr and Umar) amused him by slapping his wives (Aisha and Hafsa) for annoying him. According to the Hadith, the prophet of Islam laughed upon hearing this.

Abu Dawud (2141) - "Iyas bin ‘Abd Allah bin Abi Dhubab reported the Apostle of Allah (may peace be upon him) as saying: Do not beat Allah’s handmaidens, but when ‘Umar came to the Apostle of Allah (may peace be upon him) and said: Women have become emboldened towards their husbands, he (the Prophet) gave permission to beat them." At first, Muhammad forbade men from beating their wives, but he rescinded this once it was reported that women were becoming emboldened toward their husbands. Beatings are sometimes necessary to keep women in their place.

Abu Dawud (2142) - "The Prophet (peace be upon him) said: A man will not be asked as to why he beat his wife."

Abu Dawud (2126) - "A man from the Ansar called Basrah said: 'I married a virgin woman in her veil. When I entered upon her, I found her pregnant. (I mentioned this to the Prophet).' The Prophet (peace_be_upon_him) said: 'She will get the dower, for you made her vagina lawful for you. The child will be your slave. When she has begotten (a child), flog her'" A Muslim man thinks his is getting a virgin, then finds out she is pregnant. Muhammad tells him to treat the woman as a sex slave and then flog her after she has delivered the child.

Ibn Ishaq/Hisham 969 - Requires that a married woman be "put in a separate room and beaten lightly" if she "act in a sexual manner toward others." According to the Hadith, this can be for an offense as petty as merely being alone with a man to whom she is not related.
 
Dah.... Mwanaume wa kunipiga siwezi kumvumilia..!

Naamini kwa watu wazima njia ya maongezi ni bora kuliko kupeana mkong'oto..!
 
Mwanaume atakayejaribu kunipiga akae mbali sana na mimi... akinishinda nguvu hata katofali litamhusu....
 
hapo kwenye dini: sio dini zote zilizo kinyume na kupigwa mwanamke. Uislam unaruhusu mwanamke kupigwa na kumewekwa kabisa utaratibu wa kumpiga.

Qur'an (4:34) - "Men are the maintainers of women because Allah has made some of them to excel others and because they spend out of their property; the good women are therefore obedient, guarding the unseen as Allah has guarded; and (as to) those on whose part you fear desertion, admonish them, and leave them alone in the sleeping-places and beat them; then if they obey you, do not seek a way against them; surely Allah is High, Great."

Qur'an (38:44) - "And take in your hand a green branch and beat her with it, and do not break your oath..."
Allah telling Job to beat his wife.


From the Hadith:

Bukhari (72:715) - A woman came to Muhammad and begged her to stop her husband from beating her. Her skin was bruised so badly that she it is described as being "greener" than the green veil she was wearing. Muhammad did not admonish her husband, but instead ordered her to return to him and submit to his sexual desires.

Bukhari (72:715) - "Aisha said, 'I have not seen any woman suffering as much as the believing women'" This is Muhammad's own wife complaining of the abuse that the women of her religions suffer relative to other women.

Muslim (4:2127) - Muhammad struck his favorite wife, Aisha, in the chest one evening when she left the house without his permission. Aisha narrates, "He struck me on the chest which caused me pain."

Muslim (9:3506) - Muhammad's father-in-laws (Abu Bakr and Umar) amused him by slapping his wives (Aisha and Hafsa) for annoying him. According to the Hadith, the prophet of Islam laughed upon hearing this.

Abu Dawud (2141) - "Iyas bin ‘Abd Allah bin Abi Dhubab reported the Apostle of Allah (may peace be upon him) as saying: Do not beat Allah's handmaidens, but when ‘Umar came to the Apostle of Allah (may peace be upon him) and said: Women have become emboldened towards their husbands, he (the Prophet) gave permission to beat them." At first, Muhammad forbade men from beating their wives, but he rescinded this once it was reported that women were becoming emboldened toward their husbands. Beatings are sometimes necessary to keep women in their place.

Abu Dawud (2142) - "The Prophet (peace be upon him) said: A man will not be asked as to why he beat his wife."

Abu Dawud (2126) - "A man from the Ansar called Basrah said: 'I married a virgin woman in her veil. When I entered upon her, I found her pregnant. (I mentioned this to the Prophet).' The Prophet (peace_be_upon_him) said: 'She will get the dower, for you made her vagina lawful for you. The child will be your slave. When she has begotten (a child), flog her'" A Muslim man thinks his is getting a virgin, then finds out she is pregnant. Muhammad tells him to treat the woman as a sex slave and then flog her after she has delivered the child.

Ibn Ishaq/Hisham 969 - Requires that a married woman be "put in a separate room and beaten lightly" if she "act in a sexual manner toward others." According to the Hadith, this can be for an offense as petty as merely being alone with a man to whom she is not related.
Point of correction!Sijasema dini imesema mwanamke asipigiwe naomba urudie kusoma nilichokiandika.....
 
Lakini pia unaweza kumfundisha kwa kichapo. Na ndio maana hata Jamhuri inalitambua hilo, nenda jela kule kuna watu wanatiwa bakora kama moja ya adhabu.
Je hao wanaopewa adhabu hizo waacha matendo maovu wakitoka hapo?
 
nilichapwa na mzazi wangu kama mtoto lkn siruhusu wala sitoruhusu kupigwa na YOYOTE....
Suala sio kuruhusu hapa, suala ni uwezo wa mwenye kutaka kukupiga kuamua kufanya hivyo. Ukisema huruhusu maana yake nini?? Ukipigwa hata kama ukienda polisi au mahakamani ukweli utabaki kuwa ushapigwa.
 
Back
Top Bottom