Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,101
Nkitoa kipigo hata hayo meno hutokuwa nayo
Thubuthuuuuu. ..kujham na za uso ndio moja ya principal ya boxing
Nkitoa kipigo hata hayo meno hutokuwa nayo
Thubuthuuuuu. ..kujham na za uso ndio moja ya principal ya boxing
sasa unataka unipe diagnosis?:becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky:
Unapigwa huku kidole kinapima oil
anapigwa na fundi makenika?
Ahsante kwa mchango wako allydou na kwa kufunguka...kupiga sio kuzuri kwa kweli na inashangaza baadhi ya watu wanavyoshobokea na inasikitisha vilevile kwasababu inaonesha jinsi ganii tulivyoathirika kutoka na fikra na malezi tulolelewa nayo kwahio tunafanya kipigo kama hulka yetu na ndio njia pekee ya kumuadhibu mtu,wakati si sahihi!Kusema kweli nawasikitikia mno wanawake wanaokaa wakakungutwa tu maanake mimi ukiniletea za kuleta tutajeruhiana....Ni cowardness mtu mzima ashindwe kuongea na mtu mzima mwenzie kwa maneno mpaka ifikie vitendo!
Haya maneno tu hata kwenye kanga yapo.
kwa nini mkuu mimi ?inategemea na mpigwaji... Kama ni madame b , evelyn salt au lara1 basi kinasaidia ila kama ni miss chagga au mankam kamwe hakisaidii
Sidhani kabisa kama domestic violence inaimarisha mahusiano.
Kwenye mahusiano pakiwa na domestic violence basi hapo hakuna kabisa mapenzi.
I mean, utampigaje mtu unayempenda?
ha ha ha haya ahsante bana... Dr.Mo na asakutesamenjooni mumsaidie big_in kumthibitishia hii diagnosis yake ya minazini 🙂A depression diagnosis is often difficult to make because clinical depression can manifest in so many different ways