kipi naweza kuweka kama maonesho ya international day chuoni kwangu

Je, wenzako wanaweka nini kama Identity ya mataifa yao?

Chukua Bendera ya taifa letu, chomeka kwenye kimti, kisha iache ipepee huku unasakata singeli kwa pembeni na picha ya Msaga Sumu au Man Fongo, hakika utatutambulisha kimataifa.

Feel the difference.
Ata taarabu
 
Au nguo za wa barbaig... Hii utashika ata nafasi ya kwanza kama ni mashindano. Wamaasai si wamechukuliwa na wakenya!!! Kama hamna mkenya basi vaa kimasai
 
Print kauli za raisi wako..zitakuwa kivutio kikubwa sana..pia weka picha ya nyumba vijiji vya dom.. Af weka na deni la taifa lako..Utatisha xana
 
tafuta shuka la kimasai funga lubega vizuri na makubasi kaa kwenye banda lako lazima waje kukuangalia
 
Pika makande ya nazi nenda na disposable bowls na spoons wape wateja, weka vinyago, picha ya mlima Kilimanjaro kama una shanga za ki-Masai.
 
Back
Top Bottom