kipi naweza kuweka kama maonesho ya international day chuoni kwangu

mimi ningebase kwenye misosi tu
moja
mapishi ya kongoro
waoneshe jinsi ya kutengeneza kongoro
tafuta miguu ya mbuzi ya kutosha kama mia hivi , tafuta chungu kikuuubwa na jiko chemsha mdogo mdogo
mbili
vichwa vya kuku na utumbo wake
na chips mayai
nadhani banda lako litakuwa halina nafasi
hahahahaha miss natafuta wewe
 
hahaha nimeipenda iyo mkuu,bendera nisha ipata nilienda kuiomba kwa bolozi wetu nchini apa
Safi sana Mkuu, kama umeipenda basi fanya hivyo. Siyo kila lazima ufananie na wengine. Au hujui kucheza singeli?
 
Picha ya Magufuli
6b07131d8941d80c750a692d5b1f2253.jpg
 
Back
Top Bottom