Harmorapperhahahaha
Kila la kheri mkuuiyo ishapenya,IMO
Unaweza tafuta udongo mfinyanzi ukatengeneza hata chungu au NGUO za katani pia kuleta mvuto wa kitu kiendane na utamaduni wako. Pia utamaduni unachukua mambo mengi hata ususi au kuimba kwa lugha yako pia itasaidia kukuza lugha yako ya kiswahiliHAHAHA AKUNA MKUU
tangu nifike sijawai iona rangi ya udongo wa uku,pia sina uhakika kama naweza pata uo mfinyanzi,kuimba wengine tunasauti mbayaUnaweza tafuta udongo mfinyanzi ukatengeneza hata chungu au NGUO za katani pia kuleta mvuto wa kitu kiendane na utamaduni wako. Pia utamaduni unachukua mambo mengi hata ususi au kuimba kwa lugha yako pia itasaidia kukuza lugha yako ya kiswahili
wazo zuri mkuu nashukuruKwa sasa moja ya icon kubwa za Afrika zenye asili ya Tanzania, ni pamoja na lugha ya kiswahili, toa maelezo yake, na viwimbo kadhaa vya kuisifia Tanzania nk. weka audio ya Zanzibar a beautiful island of Afrika, pia Nyerere picha na maelezo yake ktk kuikuza Afrika, mchango wake kisiasa na kijamii pia.
Tamaduni na utalii mengi umeshauriwa, ila si lazima wamasai hata wasukuma na mavazi yao haswa ngoma yao wakiwa wanalima itawavutia wengi. Itafute google.
Itafute hiyo crip ya wasukuma wakiwa wanalima. Ni nzuri na ni utamaduni wa kushangaza sana, nadhani ipo google. Hiyo tu itakutofautisha sana na wengi.wazo zuri mkuu nashukuru
kitu nimefurahi ni kuwa kwel ulihitaji uxhaur coz umefatilia kila ulichoxhauriwa.(upo active from the beggining). nikirudi ntakuja na kitu kizuri.