Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 375,812
- 870,694
Mimi siogopiHata kama mtu ulimpenda Sana ila akifa Ile saa ya kumuwaga mpendwa wako unapita kwa speed yaani hata kukaa naye kwa ukaribu walahu dakika tano inashindikana.
Ni hisia gani hizo za hofu zinakushika mpaka unamuonea sijui ndo aibu au unaogopa atakung'ang'ania?