Hebu tupiamo kapicha basi ili nasi tujionee unachoringia. Bila picha uzi huu ni batili.Mimi naringia muonekano wangu, nikifika sehemu lazima watu waanze kunitazama kwa jicho la matamanio na butwaa. basi kama ni huduma napata haraka, Nadhan hata interview walipata butwaa mambo yakawa mepesi kabisa.
sasa unakuna mtu hana chochote cha kuringia kisha anatembea akivimba, bure kabisa
Huyu ni mwanaume au mwanamke?Mimi naringia muonekano wangu, nikifika sehemu lazima watu waanze kunitazama kwa jicho la matamanio na butwaa. basi kama ni huduma napata haraka, Nadhan hata interview walipata butwaa mambo yakawa mepesi kabisa.
sasa unakuna mtu hana chochote cha kuringia kisha anatembea akivimba, bure kabisa
Ni mwanaume . Na hana ndevu hata moja 😂😂😂😂.Huyu ni mwanaume au mwanamke?
Kifua kiko mbele tu, hata nikitembea kinyumenyume 😂Mimi naringia muonekano wangu, nikifika sehemu lazima watu waanze kunitazama kwa jicho la matamanio na butwaa. basi kama ni huduma napata haraka, Nadhan hata interview walipata butwaa mambo yakawa mepesi kabisa.
sasa unakuna mtu hana chochote cha kuringia kisha anatembea akivimba, bure kabisa
HIvi hii ni breed ya wapi mwanaume mweupe na hana ndevu kabisa kama mwanamke?Ni mwanaume . Na hana ndevu hata moja 😂😂😂😂.
Akinawa uso ni kama vile anaosha embe.
Anateleza 😊😊😊😊.
picha yake watu weng tunaijua. Binafsi sijaona uhandsome wake...