Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,586
- 66,282
- Thread starter
-
- #81
MeWala shida sio unga kawaida unga hua mweupe lakin kuna namna ya kuandaa na kufanya chapat iwe lainii ichambuke na iwe na rangii ya kuvutiaa
Njee ya mada wewe ni Ke or Me?
Mike ,huyo unayemuelekeza tuoe au bado upande wa mapishi aongeze bidii ndiyo tuweke ndani ?Ahhaha unga wa ppf mweupe sana si una jua
Mchele wa basmat naupenda kweynye birian sijawai tumia kwa pilau
Acha basi sema kwelii
nimefurahi ulivyoweka jambo lako pendwa katika mtiririko ππ ukisikia hule msemo raha jipe mwenyewe ndiyo hiiNa mimi imebidi nicheke tu π
Kwanini umecheka lakin
Next time changanya mchele wa shamba na basmat iwe pilau wali mweupe au birian utapenda ni tamu hakikisha mchele wa shamba uwe umenyooka yaan ule super πAhhaha unga wa ppf mweupe sana si una jua
Mchele wa basmat naupenda kweynye birian sijawai tumia kwa pilau
Yaan napenda jiko uwiiiiiinimefurahi ulivyoweka jambo lako pendwa katika mtiririko ππ ukisikia hule msemo raha jipe mwenyewe ndiyo hii
Unakizunguzmziaje kipolo cha kisamvu nazi afu cha baridi uwe na chai yako pendwaAliyegundua wali maharage apewe maua yake π
Yaan napenda jiko uwiiiiii
Yaan huu uzi ni mjarabu kwanguπ₯°
Bado uyooo asee kuoa bado sana tuinjoy life tuMike ,huyo unayemuelekeza tuoe au bado upande wa mapishi aongeze bidii ndiyo tuweke ndani ?
Duh mm bas naiogpNisemeje! Sijaanza kula mbuzi juzi, toka utoto wangu nakula mbuzi. Mzee wangu yupo kwenye mid 70's nyama yake ni mbuzi. Kwetu mbuzi huwezi mkwepa. Kama sio kichuri basi mtori, ndafu, bbq, mchemsho, makange mbuzi, supu ya utumbo, supu ya kichwa, mbuzi choma au mkausho. Kwetu mbuzi ni mnyama wa kitamaduni na mila.
Duh nitajaribuNext time changanya mchele wa shamba na basmat iwe pilau wali mweupe au birian utapenda ni tamu hakikisha mchele wa shamba uwe umenyooka yaan ule super π
Mimi basmat tupu sipendi
πππmke wangu hana vipengele mkuu atanipikia kesho,unajua kuwa na mke sio sasa kumpelekesha mkuu,alishapika wali samaki cha jioni siwez mwambia apike chapati mida hii hata kama atakubali lakini itakua kinyongeMwambie shemeji chap akupikie akigoma ujue huna mke
Unakizunguzmziaje kipolo cha kisamvu nazi afu cha baridi uwe na chai yako pendwa
safi kabisa π₯°π₯°Yaan napenda jiko uwiiiiii
Yaan huu uzi ni mjarabu kwanguπ₯°
πππSasa mwanamke usipojua jiko, mtu kama mimi sikuoi. Unakuwa umekosa sifa kemkem. Mimi napenda chakula kizuri, kipikwe kwa namna niipendayo.
Duh mm bas naiogp
Ase
inakuaje hii uzoefu mpyaNext time changanya mchele wa shamba na basmat iwe pilau wali mweupe au birian utapenda ni tamu hakikisha mchele wa shamba uwe umenyooka yaan ule super π
Mimi basmat tupu sipendi
Wewe unajua kula ππKisamvu kikilala, mchana kipashwe kiaina na kaugali kepesi kakubwa na glasi ya mtindi. So poa
Mama yangu ni bingwa sana wa kupika kisamvu, ana chungu chake flani hivi akikipika humo. π
Kuna jirn ana rudi usiku ame lewa mkew ana chinja usiku ana mpikia ase saa naneπππmke wangu hana vipengele mkuu atanipikia kesho,unajua kuwa na mke sio sasa kumpelekesha mkuu,alishapika wali samaki cha jioni siwez mwambia apike chapati mida hii hata kama atakubali lakini itakua kinyonge
Ujakosea kabisaMbuzi anapendeza kwa makange, upande wa samaki, sato na yeye mtamu kwa makange.