Kipi chakula chako pendwa?

Kwa chapati hiyo baado kidogo japo umejitahidi rangi yake haivutii sana ila MashaAllah ๐Ÿ˜˜

Mie napenda nyama choma ๐Ÿ˜‹
Napenda wali upikwe kwa kuchanganya Mchele wa shamba na basmat na samaki wa nazi kando ziwepo njegere๐Ÿ˜‹

Baada ya kula baadae kidogo kahawa
Mda huo sasa naingia JF kupiga doria๐Ÿ˜Ž
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚nimecheka
 
Ahhaha unga wa ppf mweupe sana si una jua

Mchele wa basmat naupenda kweynye birian sijawai tumia kwa pilau
 
Chakula cha roho vipi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ