Kipande cha barabara usichokipenda ukisafiri

Kipande cha barabara usichokipenda ukisafiri

Runzewe - Bwanga - Biharamulo kupitia NYAMPARAHARA Barabara nzuriiiiiiiii haina magari mengi imetulia balaa
 
Wasalaam

Najaribu kupata uzoefu toka kwa wadau!

Binafsi hufanya safari za Mara kwa Mara kwa barabara! Katika safari zangu za mkoa wa Rukwa safari yangu huwa inaingiwa na ukakasi nikishafika Mbeya Mjini nikianza kuitafuta Tunduma.

Sijui wewe mdau kipande gani kinakutesa kutokana na Barabara kutokuwa rafiki na hali ya safari kwa ujumla
Mikumi mjini to Mbuyuni
 
Dodoma to morogoro hiki kipande kinachosha
Wasalaam

Najaribu kupata uzoefu toka kwa wadau!

Binafsi hufanya safari za Mara kwa Mara kwa barabara! Katika safari zangu za mkoa wa Rukwa safari yangu huwa inaingiwa na ukakasi nikishafika Mbeya Mjini nikianza kuitafuta Tunduma.

Sijui wewe mdau kipande gani kinakutesa kutokana na Barabara kutokuwa rafiki na hali ya safari kwa ujumla
 
Kwa kuwa naenda sana Kilimanjaro, ile kipande baada ya kutoka hotelini hadi kufika same panaboa sana hasa ukiwa idle tu. Kwa kurudi ni Segera mpaka kuipata Wami. Unaweza hisi umeshinda siku nyingine kwenye gari!
True!
 
Huwa nikifika hapo natamani kukibeba kimkokoteni changu maana utadhani ni barabara chafu iliyotupwa sehemu . Kama nguo basi ni dekio
Nadhani msimamizi wa barabara wa mkoa wa mwanza wa kipindi hicho anatakiwa akamatwe. Maana hata kipande cha kutoka mpaka wa shinyanga hadi misungwi kinaboa sana
 
Aisee hiki kipande kilikuwa hovyo kilikuwa na mashimo balaa, ila nimepita jana nimekuta wameziba viraka ila bado kuna mawimbi ya hatari ambayo huwezi kutembea 80KHP,utakutwa ICU,
Ila kuna kipande cha kutoka Lusahunga kwenda Rusumo ni kichefuchefu ukiwa na gari ndogo au kubwa hakuna mwenye nafuu,
Nadhani msimamizi wa barabara wa mkoa wa mwanza wa kipindi hicho anatakiwa akamatwe. Maana hata kipande cha kutoka mpaka wa shinyanga hadi misungwi kinaboa sana
 
ukiwa unaenda ifakara ukipita pale kwenye daraja sijui ni ruaha sijui ni ruvu pale, unaachana na lamiii mpk sijui wap ndio unakuta lami tena
 
Kipande nisichokipenda niwapo safarini
Ni kutoka igunga..singida..dodoma daah yaani adi jioni kama sio usiku unakukuta ujamaliza eneo hilo
Kipande nachopenda ni Kutoka babati mbelembele kuitafuta singida
Yanaboa sana hayo maeneo, na ni mwendo wa masaa
 
Back
Top Bottom