Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,257
- 34,205
Huyu ni kada wa CCM hamna jipya hapo.Ameamua kuendesha baiskeli toka Dar mpaka Chato. Huu ni uzalendo wa kweli.View attachment 1742029
Huyu ni kada wa CCM hamna jipya hapo.Ameamua kuendesha baiskeli toka Dar mpaka Chato. Huu ni uzalendo wa kweli.View attachment 1742029
Kwani anaenda kwa siku moja? Atakuwa anapumzika kwenye maeneo mbalimbali.Watu wanajitafutia kifo tu...mtu hana mazoezi wala hawajapata vipimo vya kitabibu kama wanaweza kusafiri kwa baskeli kwa umbali mrefu kiasi hicho.
Sisi tulitoa taadhari kwa jamaa aliekua anaruka kwenye majengo marefu akijidai alianzia Ndanda...japo Ndanda hapakua ba majengo marefu.
Kwa ujinga wa viongozi wetu wala hawatachukua taadhari ya kuwakinga wananchi hawa kwa ajili ya kupata sifa.
Walifurika uwanja wa Uhuru siku ya kuaga mwendazake na watu wakafa ila taadhari haikuchukuliwa.
Ndugu wa hao wajasiriamali washaurini wapate kibali cha kitabibu kama wanaweza kuendelea na hiyo zoezi.
Ulitaka awe kada wa Saccos au?Huyu ni kada wa CCM hamna jipya hapo.
Wewe endelea na kazi yako mwenzako ameshaamua.Pia ni kukosa kazi kabisa maana ni upumbavu kuacha familia eti kwenda kuangalia kaburi
Ujinga tu unamsumbuaWewe endelea na kazi yako mwenzako ameshaamua.
Ni majinga haijapa kutokeaMATAGA kazini
Kuna siku atajilaumuAmeamua kuendesha baiskeli toka Dar mpaka Chato. Huu ni uzalendo wa kweli.View attachment 1742029
Mwache na ujinga wake wewe endelea na uelewa wako mkuu!Ujinga tu unamsumbua
Hahaaa...Eti Mwendazake !Watu wanajitafutia kifo tu...mtu hana mazoezi wala hawajapata vipimo vya kitabibu kama wanaweza kusafiri kwa baskeli kwa umbali mrefu kiasi hicho.
Sisi tulitoa taadhari kwa jamaa aliekua anaruka kwenye majengo marefu akijidai alianzia Ndanda...japo Ndanda hapakua ba majengo marefu.
Kwa ujinga wa viongozi wetu wala hawatachukua taadhari ya kuwakinga wananchi hawa kwa ajili ya kupata sifa.
Walifurika uwanja wa Uhuru siku ya kuaga mwendazake na watu wakafa ila taadhari haikuchukuliwa.
Ndugu wa hao wajasiriamali washaurini wapate kibali cha kitabibu kama wanaweza kuendelea na hiyo zoezi.
kazi wanayo hawataaminika tena mbele ya watanzaniaSasa hivi kila wanakopita wanajishuku
kuna saccos kama ccm?Ulitaka awe kada wa Saccos au?
Huyu mzee apumzike mahali anapostahili.Ulitaka awe kada wa Saccos au?
Sawa mkuuMwache na ujinga wake wewe endelea na uelewa wako mkuu!
Kwani unapoambiwa uwezi kuendesha gari adi Mali au Nigeria unadhani unaenda kwa siku moja? suala la kupiga pedal na kushugulisha misuli unajua madhara yake kama hukuwahi kufanyw hivyo kabla?Kwani anaenda kwa siku moja? Atakuwa anapumzika kwenye maeneo mbalimbali.
Hawa Sukuma Gang sijui hawaamini kama nchi ina rahisi ....maana bado kuna vi element vya kusaka cheap popularity ...sijui kiongozi wao ni naniYaaani unakaa unajiuliza mjasiriamali gani asiyejua maana ya muda. Wewe mjasiriamali upoteze wiki mbili au tatu kaenda na kurudi chato huku biashara yako imelala ili tu kuunga mkono mtu aliyekwishafariki
Unabaki kupata jibu moja tu kwamba KUNA NGUVU IKO NYUMA YAKE....amabayo imemuhakikishia kupata kile/kikubwa kuliko anachokipata kila siku kwa siku zote anazosafiri