Kiongozi wa wajasiriamali Magufuli bus terminal safarini Chato kwa baiskeli ili kumuenzi hayati JPM kwa msaada wake kwa wajasiriamali wadogo

Watu wanajitafutia kifo tu...mtu hana mazoezi wala hawajapata vipimo vya kitabibu kama wanaweza kusafiri kwa baskeli kwa umbali mrefu kiasi hicho.
Sisi tulitoa taadhari kwa jamaa aliekua anaruka kwenye majengo marefu akijidai alianzia Ndanda...japo Ndanda hapakua ba majengo marefu.

Kwa ujinga wa viongozi wetu wala hawatachukua taadhari ya kuwakinga wananchi hawa kwa ajili ya kupata sifa.
Walifurika uwanja wa Uhuru siku ya kuaga mwendazake na watu wakafa ila taadhari haikuchukuliwa.
Ndugu wa hao wajasiriamali washaurini wapate kibali cha kitabibu kama wanaweza kuendelea na hiyo zoezi.
Kwani anaenda kwa siku moja? Atakuwa anapumzika kwenye maeneo mbalimbali.
 
Ngoja tuone, sio huiyu aliyeambiwa kuwa mavi yake ayaache nyumbani?
 
Wewe unahangaika na li baiskeli lako, watoto wa marehemu wanaumiza vichwa jinsi ya kutumbua matilioni walioachiwa na Jiwe .
 
Watu wanajitafutia kifo tu...mtu hana mazoezi wala hawajapata vipimo vya kitabibu kama wanaweza kusafiri kwa baskeli kwa umbali mrefu kiasi hicho.
Sisi tulitoa taadhari kwa jamaa aliekua anaruka kwenye majengo marefu akijidai alianzia Ndanda...japo Ndanda hapakua ba majengo marefu.

Kwa ujinga wa viongozi wetu wala hawatachukua taadhari ya kuwakinga wananchi hawa kwa ajili ya kupata sifa.
Walifurika uwanja wa Uhuru siku ya kuaga mwendazake na watu wakafa ila taadhari haikuchukuliwa.
Ndugu wa hao wajasiriamali washaurini wapate kibali cha kitabibu kama wanaweza kuendelea na hiyo zoezi.
Hahaaa...Eti Mwendazake !
 
Ulitaka awe kada wa Saccos au?
Huyu mzee apumzike mahali anapostahili.
Screenshot_20210328-162203.jpg
Screenshot_20210328-145853.jpg
 
Kwani anaenda kwa siku moja? Atakuwa anapumzika kwenye maeneo mbalimbali.
Kwani unapoambiwa uwezi kuendesha gari adi Mali au Nigeria unadhani unaenda kwa siku moja? suala la kupiga pedal na kushugulisha misuli unajua madhara yake kama hukuwahi kufanyw hivyo kabla?
 
Yaaani unakaa unajiuliza mjasiriamali gani asiyejua maana ya muda. Wewe mjasiriamali upoteze wiki mbili au tatu kaenda na kurudi chato huku biashara yako imelala ili tu kuunga mkono mtu aliyekwishafariki

Unabaki kupata jibu moja tu kwamba KUNA NGUVU IKO NYUMA YAKE....amabayo imemuhakikishia kupata kile/kikubwa kuliko anachokipata kila siku kwa siku zote anazosafiri
Hawa Sukuma Gang sijui hawaamini kama nchi ina rahisi ....maana bado kuna vi element vya kusaka cheap popularity ...sijui kiongozi wao ni nani
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom