Village-in
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 1,692
- 3,340
Huyo ujue hajaaga kwa mapenzi ya MUNGU. Hapo lazima mkono wa put in umepita. Na sumu za KGB ni hatariKibaraka wa U.S kaaga Dunia.
Huyo ujue hajaaga kwa mapenzi ya MUNGU. Hapo lazima mkono wa put in umepita. Na sumu za KGB ni hatariKibaraka wa U.S kaaga Dunia.
Cancer ipi?Uyu putin kamuua ila kongole kwa putin yuko njian kudiscover chanjo ya cancer.
Mimi ni mpuuzi kweli haswa nikikutana na wapumbavu kama wewe lazima niwapuuzeWw ni mpuuzi sana
Yeyote tu yule anaesaliti Kremlin anatakiwa afyekweWangemuwahisha mapema kama Prighozin?
Gayden maneno matupuTunakumbushana maneno ya biden aliyoyatamka mwaka 2021, alimwambia putin atapata jibu la hatari ikiwa itatokezea navalny atafia gerezani
mwaka 2024 , navalny anafia gerezani
https://edition.cnn.com/2021/06/16/politics/alexey-navalny-biden-putin-geneva/index.html
Biden warns Putin ahead of summit: Navalny's death would hurt Russia's standing
Alexei Navalny's death "would be another indication that Russia has little or no intention of abiding by basic fundamental human rights," said Biden.www.cnbc.com
nasubiria filamu iendelee season 2
Umenikosha🤛🤛🤛kila nafsi itaonja mauti.
Polonium 204 hiyo.
Ndo kama ile alopigwa NgoshaIle sumu aliyopewa na kwenda kutibiwa German inaonekana haikuisha..,sumu Ile ilikuwa silent and slow killer!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Huyo bwana ataslimu tu ni suala la muda tu kwa uwezo wa AllahUmenikosha
Kullu nafsin dhaaiqatu lmauti.
Kamuua naniPutin ni muuaji mkubwa.
Alexis NavalyKamuua nani
Navalny kafa kwa mapenzi ya Mungu mwenyeweAlexis Navaly
Nani ataishi milele?....Huyu jamaa aliwahi kulalamika,chumba Cha gereza alichowekwa kimefungwa spika ambazo 24/7 ni anasikilizishwa hotuba za Putin
Kgb sio wa mchezo.