Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe apata ajali Mkoani Kigoma, asafirishwa kwa ndege kwenda Dar

06 October 2020

BREAKING NEWS

ACT-Wazalendo kukodi ndege kumpeleka Zitto Kabwe hospitali kubwa Dar es Salaam


Pole mgombea Zitto Kabwe, tunakuombea wepesi uwe katika hali nzuri ili tuendelee na mapambano ya kuleta uhuru, haki, Maendeleo ya watu na Furaha kwa waTanzania baada ya 28 October 2020 kwa kuishinda CCM Mpya kupitia sanduku la kura.
 
Allah ampe tahfeed Ndugu Zitto

Wapunguze kutembea kwa speed kali kwenye lami zilizojengwa na Jemedari John Magufuli ili kupunguza ajali
 
Pole sana kwa ajali ;
Ila niliwahi sikia mahali kuna mwanasiasa kila akifuatwa kukamatwa anageuka bahari.
 
Back
Top Bottom