Asilimia 80 ya wapiga kura mwaka 2005 walimuona JK ni kiongozi "bora".... walikosea wapi?
Mistook being ''cool'' for being able.

kwa hiyo ability haihusiani na u "cool" wa mtu? Lakini alikuwa anazungumza vizuri, anakusanya maelfu ya watu na maneno yake yalikuwa yanapagawisha watu.... hivi havimfanyi kuwa kiongozi bora?
kwa hiyo ability haihusiani na u "cool" wa mtu? Lakini alikuwa anazungumza vizuri, anakusanya maelfu ya watu na maneno yake yalikuwa yanapagawisha watu.... hivi havimfanyi kuwa kiongozi bora?
hujaona picha ile anatembea kwenye maji na miguu mitupu... akionesha kuwa yeye ni "mwenzetu"..
Kwa hiyo mnataka kusema kuwa kiongozi bora kabla ya kuwa kiongozi anakuwa na rekodi inayopimika? Sasa mtu hawezi kuanzia 0 na kuwa kiongozi bora au hadi awe na rekodi inayopimika? Na katika rekodi hiyo ni vitu gani vitakuashiria kuwa huyo mtu ni kiongozi bora?
:
- Listens
- Knows the problem
- distinguish senses from non senses
- leads and not drive
- stresses the positiveu
- understands from others point of view
- admits and learns from mistakes
- never repeat mistakes
- cost effective
- accountable
- adhere to rule of law
now you are talking... unaweza kufafanua kila mojawapo japo kwa kidogo? "Listens" to what or who and why? ...
Hata kama atokee ghafla from no where, as long as anafata kanuni, masharti ya kazi, kiapo chake na ni mwenye kupenda maendeleo yake na yale ya jamii yake, haijalishi; huyo atakuwa ni mwenye sifa ya kiongozi bora.