buffaro89
JF-Expert Member
- Jul 12, 2016
- 592
- 378
Habari wakuu,
Sisi sote ni watanzania, mtu kuwa kiongozi hata mimi na wewe tunaweza kuwa viongozi.
Inawezekana kuna baadhi ya viongozi hawajitambui, maana kutokujitambua hakuchagui mtu kuwa yeye ni nani!!
Najua huwa wanachunguliaga humu JamiiForums, maana hawana job description.
Hebu tuwaonee huruma kwa kuorodhesha sifa za mtu kuwa kiongozi zinakuwaje!!!!
Pengine watashituka na kujiongeza na kujitambua kuwa wananchi wanaangaika huku kwasababu ya kutokufanya kazi tulizowatuma watuwakilishe.