Kiongozi bora ni yupi basi?

Kiongozi bora ni yupi basi?

Hizo ni Qualities za a good leader kwa mujibu wa wazungu, kama ilivyo demokrasia yao, kuwa ni serikali ya watu, inayoongozwa na watu kwa ajili ya watu, but not in Africa. Kule leaders are selfless,
Africa hatuhitaji leaders kutuongoza, we just need rulers to rule.
Demokrasia yetu ni serekali yangu, inayoongozwa na mimi kwa ajili yangu.

Ni kufuatia haya mambo ya kuendekeza good leadership na good governance ndio yametufikisha hapa, sasa tuko kwenye Tanzania ya Magufuli na Dar es Salaam ni jiji la Makonda,
hatuhitaji hizo qualities, tunataka maendeleo, mambo yaende hata ikibidi kwa mijeledi, mambo ya kubembelezana hakuna tena, siasa hakuna, hapa ni kazi tuu!. Hii ndio Tanzania ya Magufuli.

Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!
P
Sijui sijakuelewa au tatizo ni kubase sanaa katika sayansi.

Sijui ndo lugha ya kisiasa au ya kudokoa habari.

La sivo ntakuwa na kichwa kigumu au ntakuwa nafikiria zaidi ya zaidi.
 
Baadaye tutakuja pata Tanzania ya Joti, ya Wema Sepetu n.k...

Tusipolazimisha mabadiliko i.e katiba mpya, n.k; basi tutaendelea tu kuishi kwenye Tanzania ya watu wengine..
 
Sijui sijakuelewa au tatizo ni kubase sanaa katika sayansi.

Sijui ndo lugha ya kisiasa au ya kudokoa habari.

La sivo ntakuwa na kichwa kigumu au ntakuwa nafikiria zaidi ya zaidi.
Aymatu, ni kweli ukiwa ni mtu wa sayansi tuu, fasihi inaweza kukupiga chenga, ila pia ungeuelewa uongozi wetu kwa urahisi zaidi kwa sababu tunaongozwa kisayansi na mkemia, hata mikutano kukutana na wenzake haendi!.

Kutokana na viongozi waliotangulia kuongoza, kwa kufuata kanuni za utawala bora, ndio wamelifikisha taifa letu hapa lilipo, hatuhitaji tena viongozi na mambo ya leadership qualities, tunahitaji mtawala, kutawala, mambo yaende, na hapo ndipo Magufuli alipo

Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!
P
 
Aymatu, ni kweli ukiwa ni mtu wa sayansi tuu, fasihi inaweza kukupiga chenga, ila pia ungeuelewa uongozi wetu kwa urahisi zaidi kwa sababu tunaongozwa kisayansi na mkemia, hata mikutano kukutana na wenzake haendi!.

Kutokana na viongozi waliotangulia kuongoza, kwa kufuata kanuni za utawala bora, ndio wamelifikisha taifa letu hapa lilipo, hatuhitaji tena viongozi na mambo ya leadership qualities, tunahitaji mtawala, kutawala, mambo yaende, na hapo ndipo Magufuli alipo

Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!
P
Ahsante sanaa umenielewa nin nimeandika na nimekuelewa nini umenifahamisha.

Huu ndo ujengaji hoja unaotakiwa sasa.

Na watu hapa pakushindwa kutofautisha au kusoma juu juu kanuni na sheri halafu kubaki kulaumu tu.

Tukiwa waelewa wa mambo namanisha ELIMU basi tutajua wapi rais anafaa kusifiwa kafanya vizuri bila kujali uchama,
Na wapi kakosea kama binadam mwingine.
 
Hizo ni Qualities za a good leader kwa mujibu wa wazungu, kama ilivyo demokrasia yao, kuwa ni serikali ya watu, inayoongozwa na watu kwa ajili ya watu, but not in Africa. Kule leaders are selfless, viongozi ni watu waliojitosheleza na wanagombea uongozi ili kutumikia watu, kuwa watumishi wa watu, huku Africa, watu wanagombea uongozi ili kuukwa, kukamata madaraka, ukubwa na ulaji, sio ili kutumikia watu bali uabudiwe, unyenyekewe, usifiwe.

Africa hatuhitaji leaders kutuongoza, we just need rulers to rule, yaani tunahitaji watawala tutawaliwe. Rais Magufuli ni mtawala anatutawala.

Demokrasia yetu ni serekali yangu, inayoongozwa na mimi kwa ajili yangu, na watu wangu na chama changu na walionichagua!.

Ni kufuatia haya mambo ya kuendekeza good leadership na good governance ndio yametufikisha hapa, sasa tuko kwenye Tanzania ya Magufuli na Dar es Salaam ni jiji la Makonda,
hatuhitaji hizo qualities, tunataka maendeleo, mambo yaende hata ikibidi kwa mijeledi, mambo ya kubembelezana hakuna tena, siasa hakuna, hapa ni kazi tuu!. Hii ndio Tanzania ya Magufuli.

Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!
P
Mkuu thamahani ni Tanzania ipi ilihitaji dictator?
 
Back
Top Bottom