Kiongozi anayekaa madarakani sababu ya kiburi cha risasi na jeshi huondoka madarakani kirahisi sana

Kiongozi anayekaa madarakani sababu ya kiburi cha risasi na jeshi huondoka madarakani kirahisi sana

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,170
Reaction score
8,622
Hata kama atakaa kwa muda mrefu ataondoka tu kirahisi kama walivyondoka akina Mobutu , Bokasa na wengineo.

Hata vijana ambao huwa nakutana nao mara kwa mara huwa nawaeleza hili kuwa kila jambo lina mwisho.

Tulipata uhuru bila kumwaga damu. Lakini leo hii watu walimiminiwa risasi kama njugu kisa tu watawala wakae madarakani wakati wananchi hawawtaki
 
Walikuwepo wababe wa dunia leo kiko wapi? Wawe wanajifunza kwanza kwa waliowatangulia ie akina Gaddaf, Saadam husein,Hitler
 
"Kule upande wa pili leo hii hakuna anayetaka kuandamana" hii Kauli imenitia huzuni sana jinsi ilivyotolewa na facial expression yake ni kama anajisifia kuwa kafanikiwa kupitia tukio alilofanya na kutia hofu kwa vijana
 
mkuu damu alizomwaga ndio zinamsumbua ndio maana unaona anaropoka damu za ndugu zetu hazitamuacha salama
 
Ile kauli ya Zitto kabwe kwamba nchi haijawahi kupata raisi mshamba nadhani inafit sana kwenye awamu hii😂
 
Screenshot_20260107-190748~2.png
 
Back
Top Bottom