Yanga daimaaaaaanimeita kinyaa kwa sababu ya maamuzi yenye kinyaa..
Bila aibu...refa anaamua penati kabisa hata akili ya mtoto mdogo inakataa..
Sidhani kama ni hakuona ukweli wa namna beki alivyocheza....refa hakua mbali na tukio... Hata kama refa alisubiria tukio hilo si kwa kwa uwazi ule...
Azam Tv wamewekeza ktk live matches.. tukiamini tunapiga hatua soka lakini maamuzi kama haya hutamani kuangalia baadhi ya mechi ..je energy na muda wa maandalizi yanaaamuliwa kwa style hizi..
Lakini TFF wanafanyaje kwa maamuzi kama haya..
Ni adhabu wanatoa..kumfungia mtu mechibtu.... Lakini kwa nini inajirudia rudia.
Tutegemee nini level ya national team kupiga hatua.....
Akili za TFF , ....Hakuna weledi, hakuna maono...
Tutabaki tu kuwa watazamaji ktk international stages kwa sababu soccer culture yetu....Nani saratani wa soka la tz..
inatosha au ndo tuendelee na soka letu hivi.....
Inasikitisha....jamaa kauharibu mpira kabisa....beki aliugusa mpira kwa mguu wa kushoto huku Fei Toto akighushi kwa kujiangusha.....nimeita kinyaa kwa sababu ya maamuzi yenye kinyaa..
Bila aibu...refa anaamua penati kabisa hata akili ya mtoto mdogo inakataa..
Sidhani kama ni hakuona ukweli wa namna beki alivyocheza....refa hakua mbali na tukio... Hata kama refa alisubiria tukio hilo si kwa kwa uwazi ule...
Azam Tv wamewekeza ktk live matches.. tukiamini tunapiga hatua soka lakini maamuzi kama haya hutamani kuangalia baadhi ya mechi ..je energy na muda wa maandalizi yanaaamuliwa kwa style hizi..
Lakini TFF wanafanyaje kwa maamuzi kama haya..
Ni adhabu wanatoa..kumfungia mtu mechibtu.... Lakini kwa nini inajirudia rudia.
Tutegemee nini level ya national team kupiga hatua.....
Akili za TFF , ....Hakuna weledi, hakuna maono...
Tutabaki tu kuwa watazamaji ktk international stages kwa sababu soccer culture yetu....Nani saratani wa soka la tz..
inatosha au ndo tuendelee na soka letu hivi.....
Kiukweli inaudhi na kusikitisha mno.....Tangia ligi ianze sikuwahi kuchukia kama leo.
Najuta hata kwaninii nimeangalia mpiraa asee.
Yaan Refa amekuwa[emoji240]
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Leo siku yangu imeharibika kwelikweliKiukweli inaudhi na kusikitisha mno.....
Jamaa katukosea sana mashabiki wa mpira wa miguu........
Huu ndio ushabik mavi mavi Sasa [emoji867]Acheni kelele na unafiki wenu. Hamkuona Feisal kaangushwa kwa kuchwzewa rafu.
Mmezoea kubebwa sasa mnadhani wofe wanabebwa. Nonsense
Hamjawahi kubebwa? Waamuzi wetu wanashida huyu wa leo sio wa kwanza!Mbeleko tena kwa kina mayele, mukoko, fei totoz, mwampiganyeto heehhh kumbe wamebebwa
Na wewe ni mpuuzi tu kama wapuuzi wengine, kwaiyo leo hii ndo umesikitishwa na penalty waliyopewa yanga ?Tokea ligi imeanza umeiona penalty ya leo tu ndo aikuwa halali nyingine zote ambazo timu nyingine wanapewa uwa ni halali? Kama unao huo uchungu mbona uwa uko kimya unafurahia tu leo umeibuka kusikojulikana unajidai kusikitishwa na penalty ya yanga? Au ndo timu makolo fc umeumia kuona yanga uliyokuwa unategemea ifungwe imeshindikana, Acha mambo ya kipuuzi wewe kuchagua matukionimeita kinyaa kwa sababu ya maamuzi yenye kinyaa..