Kinyaa cha tongue kiss

Kinyaa cha tongue kiss

images
1464089_466985306745122_1369846288_n.jpg

Ndugu Una store ya picha??
 
hatari aise! Ni kweli mm sikumbuki lini nimemnyonya wife mate! Sasa naanza kupata picha ndo maana ndani ya game wanaume wengi wanapiga kimoko then kwa heri coz mambo madogo kama haya na muhimu tunayaacha! Mapenzi uchafu bana ss km kunyonya denda ni kinyaa na kule uvinza inakuwaje?
 
Bado ni fresh tu ila kama hapigi mswaki mkimaliza kula hapo lazma usikie kinyaa kwani unaweza ukazungusha ulimi ukawa unaibuka na matamahuluku ya misosi.Mara punje za wali ganda la marage vitawi vya mchicha etc

hahahahahahahah. nimecheka sana. nikweli mkuu watu wanaibukaga na kisamvu.
 
Back
Top Bottom