grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
Ngoja kwanza nishangae jinsi unavyojikumbatia mwenyewe wakati sisi tupo...hilo sio swali uliza jingine
Ngoja kwanza nishangae jinsi unavyojikumbatia mwenyewe wakati sisi tupo...hilo sio swali uliza jingine
Ni kitu cha kushangaza kidogo lakini kipo na kitaendelea kuwepo ,wakati wa penzi changa mapenzi huwa motomoto kwelikweli mtanyonyana kila mahali na hamchoki hata
lakini jinsi mnavyoendelea kuzoeana na pengine kuishi pamoja ile ladha tamu ya mate ya nwenzi wako hupotea kabisa na hata wengine kuona ni kinyaa kunyonyana tena
Huwa najiuliza tu ninini kinatokea ?