Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,392
- 829,673
- Thread starter
- #41
kinacholeta hamasa ni mdomo, kwa kuwa mdomo uhifadhi mate , watu hudhani kinachofatwa ni mate...na ndio maana kiss nyingi zinalenga mdomo au maeneo yanayokaribiana na mdomo!!
Na usafi nao unahusika pia !mdomoni kuwe kusafi meno meupe ,ulimi msafi na hakuna ile harufu mbaya ,huwezi kula denda na mtu aliyekunywa kangara au aliyekula hiiView attachment 151991