Kinyaa cha tongue kiss

Kinyaa cha tongue kiss

Ni kitu cha kushangaza kidogo lakini kipo na kitaendelea kuwepo ,wakati wa penzi changa mapenzi huwa motomoto kwelikweli mtanyonyana kila mahali na hamchoki hata
lakini jinsi mnavyoendelea kuzoeana na pengine kuishi pamoja ile ladha tamu ya mate ya nwenzi wako hupotea kabisa na hata wengine kuona ni kinyaa kunyonyana tena
Huwa najiuliza tu ninini kinatokea ?
Hata kipande cha godoro kikijaa maji kakita nyonya tena...
bora ninyonye dushelele kuliko kunyonya mate. staki maswali.
Hutaki maswali lkn nakuuliza hivi dushelele lina ladha gani..

Kwani wakati wa mapenzi motomoto yale mate ya mpenzi wako uayonyonya yakiwekwa kwenye kikombe unaweza kunywa?
Mkuu kikombe ni kikombe na mdomo ni mdomo...

Bado ni fresh tu ila kama hapigi mswaki mkimaliza kula hapo lazma usikie kinyaa kwani unaweza ukazungusha ulimi ukawa unaibuka na matamahuluku ya misosi.Mara punje za wali ganda la marage vitawi vya mchicha etc
Hahahahhhh duuu eti matamahuluku
images
1464089_466985306745122_1369846288_n.jpg
kumbe hata wazee wengine ni waumin wa hii kitu

Mi napenda denda na demu mla ugoro au aliyetoka kutapika sasa zile chembe chembe za matapish huwa tam kwelikweli hasa akiwa mweusi.
Mmmh inaonekana wewe hata mlevi akitapika waweza kunywa.. Loh....
 
Denda kitu gani watu wanafanya ya ajabu kuliko hiyo.
Its sweeet lakini
 
inauz pale ambapo mwenzio anakuachia unyonye ulimi wake tu,sa kwan maana ya denda ni nn?
 
Back
Top Bottom