Kinondoni kinara wa ukahaba na madanguro

Kinondoni kinara wa ukahaba na madanguro

Hawa wadudu wanapatikana Kino sehemu gani nami nifuate utamu
 
Hujapata fundi wewe. ...hao wabichi tafsiri ni moja tu! Kama neno lilivyo yaani hawajaiva au hawajakomaa...wengi wanajua kuoga lakini hawajui kujisafisha...wengi hawajui muda gani afanye nini, ataishia kurukaruka tu na kukutekenya kama anamchekesha mtoto....ogopa bumunda lilolototoa halafu likakarabatiwa...maji utaita uuma!utamu kuanzia utosini mpaka kwenye kope! Wanaume wanaliaga bila kujijua

we jamaa inaonekana mwanachama sana...
Ukweli ni kwamba hivi vitoto sometime vinazingua japokuwa kuna vingine vinakimbiza mwenge hatarii, kuna kama vitatu nimeshawahi kukutana navyo balaa ila jamaa wameviweka ndani....
 
Msishangae sana, wengine ni wadada wa maofisini, hapo ni part time job inayoleta nauli na hela ya lunch.

Nauli na lunch?? watu ndio wanarun show nzima hapo.. nilishawahoji kadhaa, wale wamaeneo ya uswazi huko wanalaza mpaka 50k hapo biashara ngumu ila wale waliopo maeneo classic 100k wanalaza.. Hizo ni hesabu za Hiace au Coaster mama..
 
Siku hizi watu wanamalizana Instagram hawaendi kuumwa na mbu tena mzungu karahisisha kazi unakuta demu anajirekod tu anakatika basi dm za kutosha anachagua dau la uhakika anaenda kuwajibika
 
Kuna kero muhimu za kupewa kipaumbele kuzitatua kuliko kero ya ukahaba, ukahaba upo dunia nzima na haukuanza leo, ni wa karne nyingi na hauzuiliki tena, ni rahisi kudhibiti madawa ya kulevya lakini sio ukahaba.
 
Nauli na lunch?? watu ndio wanarun show nzima hapo.. nilishawahoji kadhaa, wale wamaeneo ya uswazi huko wanalaza mpaka 50k hapo biashara ngumu ila wale waliopo maeneo classic 100k wanalaza.. Hizo ni hesabu za Hiace au Coaster mama..
Hajawaona wheels na cribs wanazomiliki hao machangu huyo .
Siku moja pale Sinza kijiweni palikuwa na gereji pale kuna mdada ulileta benzo lake lifanyiwe matengenezo baada ya kazi fundi tena alikuwa mangi yule anataka chake mdada ukawa unampa ootion ya papuch !mangi akaja juu anataka mbesa sio papuch .
 
Be positive, stay positive.
Masaki, Mikocheni, Oysterbay, Msasani, Mbezi Beach, Salasala na fahari zote za nchi hii ziko Kinondoni

Watu wanatafuta pesa Ilala wanatumia Kinondoni wakichacha wanaenda Temeke
Kigamboni bado natafuta takwemu
 
Hajawaona wheels na cribs wanazomiliki hao machangu huyo .
Siku moja pale Sinza kijiweni palikuwa na gereji pale kuna mdada ulileta benzo lake lifanyiwe matengenezo baada ya kazi fundi tena alikuwa mangi yule anataka chake mdada ukawa unampa ootion ya papuch !mangi akaja juu anataka mbesa sio papuch .
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] duuu
 
Back
Top Bottom