Kinondoni kinara wa ukahaba na madanguro

Kinondoni kinara wa ukahaba na madanguro

Katika picha... Kwa nini na wao wanavunja sheria? Kwa nini askari wa kiume anawakamata watuhumiwa wa kike?
Askari wa kiume anaruhusiwa kumkamata mhalifu wa kike ila haruhusiwi kumkagua mhalifu wa kike maungoni ila ktk mikoba au pochi zake anaruhusiwa. Askari police au wana sheria mliopo humu tuelewesheni hii kitu.
 
Katika picha... Kwa nini na wao wanavunja sheria? Kwa nini askari wa kiume anawakamata watuhumiwa wa kike?
Kwani nchi hii inafuata sheria?

Mimi na wewe ndio tupo chini ya sheria ila hao wengine wapo juu ya sheria mkuu. So kuwa mpole tu nchi inyooshwe kwanza na Sizonje.
 
Hii mbuga ina vidigi digi tu hamna pundamilia mbona
4e87a935811ccd6f5faa9c7ec1ef46fc.jpg
 
Mtaani kwetu kuna Dada mmoja kahaba kwa miaka tisa sasa lakini ukimwaangalia lazima useme 'halua haina makombo'.
Akipita sehemu hadi sanamu zilizotengenezwa kwa mawe na saruji zinavimbisha😀😀😀😀....imagine walioumbwa kwa nyama na damu😀😀😀😀

Huyo Dada ni miongoni mwa marafiki zangu pia🙁🙁🙁🙁🙁
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji39] [emoji39] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji144] [emoji115] [emoji115]
 
Hivi huko kwenye kujiuza akivaa dela au suti hawezi kupata mteja?!
 
Back
Top Bottom