Wanaume wa Kinondoni waongoza kwa MABUSHA

Wanaume wa Kinondoni waongoza kwa MABUSHA

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,152
Wanaume 127 kati ya 165 waliofanyiwa uchunguzi mkoani Dar es Salaam kuanzia Januari 05 hadi 08, mwaka huu, wamepatikana na ugonjwa wa mabusha.

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dkt. Mohamed Mang'una amesema Wilaya ya Kinondoni imeongoza kwa ugonjwa huo.

1767949693261.png
Chanzo: Habari Leo
 
Kuna eneo waliwahi kupelekewa mradi kwa ajili ya kuwafanyia oparesheni ya kuondoa mabusha wakasema sio kipaumbele chao na kuwa nayo ni heshima 😔
 
Back
Top Bottom