Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 374,710
- 868,041
Anasema kwenye siku za mwanzoni tu za kampeni ya siku kumi ya kutelekeza madanguro na makahaba kikosikazi chake kimefanikiwa kukamata raia wa kigeni14 ambao ni mabinti wa kati ya miaka 18-20 toka Nepal na India na kufanikiwa kufunga madanguro manne
Hii inaweza kuwa idadi kubwa zaidi ya wageni wanaojishughulisha na hii biashara kwa Dar kwa mkoa wa Kinondoni lakini pia kuna raia wengi zaidi wa nchi jirani wanaofanya biashara hiyo hapa Dar ambao si rahisi kuwatambua kama si raia wa Tanzania