Kinondoni kinara wa ukahaba na madanguro

Kinondoni kinara wa ukahaba na madanguro

Maisha yamekua magumu mno wawaache wadada za watu wajitaftie kipato, wawawekee mashine za EFD watimize lengo la mkubwa ya viwanda
 
Kinondoni eneo au wilaya hadi huku kwetu Masaki?
 
Kinondoni ni center ya<

Ukahaba

Ushoga

Utapeli

Ujambazazi

Wizi

Uteja

Madawa ya kulevya

Ushirikina

Migogoro ya kijamii

Aisee hii sehemu sitokuja kuishi na huwa nawashangaa wanaoamia huko[emoji15]
 
[HASHTAG]#FreeMaxenceMelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#BringBackBenAlive[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeforLema[/HASHTAG]
 
Kinondoni ni center ya<

Ukahaba

Ushoga

Utapeli

Ujambazazi

Wizi

Uteja

Madawa ya kulevya

Ushirikina

Migogoro ya kijamii

Aisee hii sehemu sitokuja kuishi na huwa nawashangaa wanaoamia huko[emoji15]
Be positive, stay positive.
Masaki, Mikocheni, Oysterbay, Msasani, Mbezi Beach, Salasala na fahari zote za nchi hii ziko Kinondoni
 
Be positive, stay positive.
Masaki, Mikocheni, Oysterbay, Msasani, Mbezi Beach, Salasala na fahari zote za nchi hii ziko Kinondoni
Tukichukulia kinondoni kama wilaya nadhani sio sawa, ila hapa nadhani target ni ile kinondoni (sijui ni kata au mtaa), mwananyamala plus sinza.
 
Back
Top Bottom