Kinondoni kinara wa ukahaba na madanguro

Kinondoni kinara wa ukahaba na madanguro

Leo ngoja nifunge safari ya kuja huko mjini naona mambo mazuri yananipita!

Halafu mbona hamna number za sim za hao warembo!
Achana na hayo mataputapu mkuu tafuta totoz inayojitambua ambao hawasimami barabarani mbona wapo wengi tu siku hiz
 
ha! unyanyapaa!!!
haya ngoja nikodoe nitamani nisogee ninunue nile nitakuwa nimefanya un unyanyapaa! lkn huku nikiondoka na un ARV buku!
[emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276]
 
Hujapata fundi wewe. ...hao wabichi tafsiri ni moja tu! Kama neno lilivyo yaani hawajaiva au hawajakomaa...wengi wanajua kuoga lakini hawajui kujisafisha...wengi hawajui muda gani afanye nini, ataishia kurukaruka tu na kukutekenya kama anamchekesha mtoto....ogopa bumunda lilolototoa halafu likakarabatiwa...maji utaita uuma!utamu kuanzia utosini mpaka kwenye kope! Wanaume wanaliaga bila kujijua
Niwewe au nimekufafanisha[emoji15] [emoji15]
 
Kuna kidanguro kimoja jirani yangu hapa naomba FFU waje kumkamata maana anakaa ndani na wanaume 10
 
Mtaani kwetu kuna Dada mmoja kahaba kwa miaka tisa sasa lakini ukimwaangalia lazima useme 'halua haina makombo'.
Akipita sehemu hadi sanamu zilizotengenezwa kwa mawe na saruji zinavimbisha😀😀😀😀....imagine walioumbwa kwa nyama na damu😀😀😀😀

Huyo Dada ni miongoni mwa marafiki zangu pia🙁🙁🙁🙁🙁
Picha please
 
Back
Top Bottom