Kinondoni, Dar: Hamza mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Mnaojaribu kutuma pesa mnahatarisha hadhi zenu kwenye jamii. Mkikamatwa kwa kufadhili ugaidi itawachukua muda sana kujinasua.

Tuwe makini.
Acha kabisa
IMG_20210520_020503.jpg
 
Wakuu,kuna video moja jamaa flani hivi watu wanasema ni askari alimfata yule bwana mkubwa kibandani,wakati bwana mkubwa akiwa anarushiana risasi na askari,hivi yule jamaa ambae ni askari aliingiaje pale katikati ya msitu wa risasi,tena kizembe namna ile?
alitaka kuwa hero kesho a trend kwa newspaper
 
Sasa walikuwa wanauomba ugaidi ishaingia Sasa namshauri rais siro aondolewe haraka na awekwe detention awe interrogated na tiss
 
Sio gaidi huyo ankoo
Ka si gaid n nan mkuu
Mimi nadhani imetumika akili ndogo sana kumuua. mtu alikuwa sehemu ya wazi,kama polisi wangekuwa na snipers, angepigwa risasi kwenye bega lilokuwa na bunduki ,bila shaka angedondoka chini.baadae wangemfuata akiwa hai ili atoe maelezo ambayo yangewasaidia sanaaaa polisi.
ni Tanzania tu ambapo polisi anaua mtu mwenye ushahidi hata kabla hajaupata huo ushahidi. The guy was positioned at a conspicuous place , why not use your stupid blame to catch mim, alive?
Haha haa
 
Wakuu,kuna video moja jamaa flani hivi watu wanasema ni askari alimfata yule bwana mkubwa kibandani,wakati bwana mkubwa akiwa anarushiana risasi na askari,hivi yule jamaa ambae ni askari aliingiaje pale katikati ya msitu wa risasi,tena kizembe namna ile?
Hicho ndio amefundishwa mkuu 'ujasiri'hata kama itakulazimu kufa

Vitendo vya ujasiri ndio uaskari wenyewe mkuu.
 
Huyu ni Gaidi kwa Mtazamo wangu, alienda Mafunzo ya Dini Misri, kwa Mujibu wa Audio zinazotembea Mitandaoni. Lakini mimi kujificha kwenye Kile Kibanda na Kulenga. Namuona ni Gaidi. Alitoka Baada ya kurushiwa Mabomu ya Majozi pale kama si Gas. Akaamua kutoka. Kwa Mujibu ya Tweet ya Ikulu kaua Askari Watatu na Mlinzi Mmoja wa SGA (kampuni ya Ulinzi).
Ni Gaidi, kwakuwa ni Muislamu mosi, pili ni Msomali, tatu kitendo chake kilikusudia kuogofya hadhila, kusoma dini hata Gwajima alienda kusoma dini, tatizo ni dini gani?
 
Tatizo hayo mapungufu wanayazidisha
Polisi wengi wanafanya kazi zao to the best of their abilities.

Hebu jiweke kwenye nafasi yao: umepewa amri na wakubwa wako, unapaswa uitekeleze bila kuhoji au usipofanya hivyo hauna kazi.

Nyumbani una familia inakutegemea, hauna chanzo wala taaluma nyingine ya kukuingizia kipato. Utafanyaje?

Askari wote wanapaswa kuwa na nidhamu ya kutekeleza amri bila kuhoji.

Tunawalaumu na kuwachukia bure tu. Hizo lawama zipelekeni kwa wakubwa wao.
 
Back
Top Bottom