cacico
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,362
- 7,812
Kutongoza has a new name, kha? Hivi kuimbisha huwa mnasomea certificate ama diploma?
Ulinitosa tukiwa form six kisa navaa soksi zilizotoboka visigino
wa kuponya moyo wa Excy ni Kabakabana
Yaani ukisitikikaga maumivu napata mie ujue ?
Cheka basi in purpousely my pain been overthrough !
wa kuponya moyo wa Excy ni Kabakabana
Kwaheri
ndo hvo bhana nimesha-MUTE now
mmmmh . . . . . .:laugh:
he he he, pole wee
kumbe hata hapa jf wapo?
Makubwa!
Muulize, keshashona sox zake sasa?
Soksi sio tatizo. Kwa sababu nimembwaga basi walau urafiki wa thamaki na nyau nauendeleza. Niko KEA hapa namnunulia soksi to last him a lifetime, hahitaji kufua.
Afu ujue mie samaki kuna paka mmoja nammendea, sijui itakuwaje?