Soksi zimetoboka.
alaaniwe aliyenionjesha mautamu ya 3some!! :shut-mouth:, ni addiction mbaya sana!!!!
hamnitakii mema kabisa
Ulinitosa tukiwa form six kisa navaa soksi zilizotoboka visigino
alaaniwe aliyenionjesha mautamu ya 3some!! :shut-mouth:, ni addiction mbaya sana!!!!
haifai kutafakari, acha yeshe tu! ukianza hutaacha!lol labda 2 ya 3 sijui ilienea wapi
mwe mwe mwe! umeona saa ngapi hii makitu nimeandika huku?? usimwambie hubby Asprin, ni bakora kwa kwenda mbele akiona hapa, lol, hebu niende mbali na huu mtaa!Gagalino.....
Heheheeee hata mimi namlaani sana tena aloimbwa na Matonya
ni ugonjwa mbaya usithubutu kukutwa na mama 3some!Sasa unaanza kuntia hamu. Mmmh, kaa mbali na mimi mamito
kama una nia ya kunipenda basi usingenitesa kiasi hiki,,,,,aah wa kufikiria atakuwa wewe!
Unamtaka tena? Umeacha kuvaa soksi za pundamilia?
hata mwanzoni hakuwa wangu sema nampenda,upande wa soksi za pundamilia nimeacha siku nyingi miaka kadhaa