hilo ndo point lenyewe ngoja nikaze msuliNimeongea nae yuko Ubungo Plaza kunako Miss Redds , japo kuna makelele bt tumeskilizana. Kaniambia anakuona hujatuliatulia hivi! Anakufananisha kama Philipo Mulugo namna hii !
Nway mjumbe hauwawi mi nimefikisha, sijatia maneno yangu.
Btw maoni yng kwako usikate tamaa!
Kuna mwanamke anamzidi usungura mwanaume?
Hawa si ndo sitaki-nataka!
Kaza daluga meeen.
Ndo nachokupendea jali basi upendo wangu kwakoHukumu mbona mgomvi wewe, hapa sio maissue za ujanja. Kijana wa watu ameonekana ametulia na anajua kuvaa. I dont deserve him jamani.
afadhali mtumwa umesema ukweli. Soksi hazikuniogopesha manake ningemnunulia na kumfulia mwenyewe baada ya kumuogesha na maji ya iliki na abdalasini. Cheizeiya mapenzi ya king'asti! Ndo maana Paw hatetereki hapa.
Yaani ningempenda na picha ningemfundisha kuweka.
yani sijui nifanyaje
![]()
Aaaaah bhana,sijaafiki
Wewe ndo kishadadizi nambari one, inakuhusu mzima mzima. Ili huyu kaka aniache alone inabidi nimsakie mchuchu.
Kwa hiyo miye ndo nimemfanya akugande?
Mnanisingizia tu wajameni . . . . hapo ningemkatisha tamaa ningeitwa kauzibe!
Haya bana nimekoma, sirudii tena!
Yaani ukisitikikaga maumivu napata mie ujue ?
Cheka basi in purpousely my pain been overthrough !